Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

15 January 2024 Amesema siku hiyo kama kuna watu watajibadilisha kuwa takataka watabebwa. MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATANGAZA SHUGHULI NYINGI ZA WAZI ZA UMMA ZITAKAZO WATINGA WATENDAJI WOTE...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Dr. Sisimizi Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao...
3 Reactions
71 Replies
4K Views
SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya...
9 Reactions
124 Replies
9K Views
Wakuu kwema? Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya...
21 Reactions
110 Replies
3K Views
Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa...
2 Reactions
5 Replies
633 Views
Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani. Hivyo Leo ulikuwa ni...
13 Reactions
157 Replies
8K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Tumesikia matamko huko Mwanza, Dar na kwingineko Viongozi wa Machinga na bodaboda kadhaa wakitoa tamko kuwa wao habari za maandamano hawazitaki na kuwa wanaunga mkono serikali na "juhudi" zake...
5 Reactions
9 Replies
893 Views
Vijana endeleeni kudanganywa na Mr.dj hata hayo maandamano aliyotangaza NI kiini macho kwa kuwa mpango huo hauwezekani anataka kuaminisha wafuasi kwamba NI mpambanaji kumbe nyuma ya pazia anapiga...
2 Reactions
14 Replies
754 Views
Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es...
21 Reactions
122 Replies
9K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo...
15 Reactions
176 Replies
14K Views
Hakuna kitu kibaya cha kuzuia zuia uhuru wa watu wenye mawazo mbadala kwani ni mara chache sana ndani ya serikali kujua vitu hasi kwani watendaji huona kama ni uzembe wao kwa mamlaka...hii zuia...
2 Reactions
5 Replies
489 Views
Wote tunajua Miswada ya Sheria za Uchaguzi imegawiwa kwa Wadau mbalimbali ikiwemo Chadema ili Kupata maoni yao mbele ya Kamati ya Bunge. Maoni ya Chadema yamewasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema " mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali" Askofu...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Akili za kuambiwa changanya na zako. Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom