Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM.
Ushauri wangu ni...
Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?
Na je...
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema keki ya taifa ni ndogo sana, hivyo wananchi wanapaswa kuchagua viongozi makini wenye uwezo wa kuipigania ili kuhakikisha maendeleo yanafika katika...
Nimemkumbuka bwana huyu maana kipindi hicho alivunja lekodi kwa kuvitumikia vyama viwili kwa wakati mmoja yani CCM na Chadema mwenyekujua bwana huyu yupo wapi anafanya Nini kisiasa yupo hai au au...
Leo nimewaza na kuwazua, sikupata jibu: dola ni nini?
Je, ni mkusanyiko wa viongozi na wananchi au ni viongozi peke yao?
Kazi ya dola ni nini? Kujilinda au kulinda wengine?
Wajibu wa raia kwa...
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli...
Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya...
Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi...
Chadema ya Tundu Lissu na John Heche wamekuwa na utamaduni mbaya sana hasa kuhusu VIFO.Kwanza wamekuwa VINARA wa kushangilia VIFO vyote vya Wanaccm na Viongozi wa Serikali "Utamduni" ambao...
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw.Said Mwambungu amefariki dunia katika hospitali ya Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na matatizo ya figo.
Mwenyezi Mungu...
10. Liti Kidanka.
Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka...
VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa...
Msukuma, Habari za mchana! Hii hapa TAARIFA YA KWANZA YA CHAMA baada ya 29 October na ilikuwa tarehe 5. Mwenyekiti alikutana na wajumbe wako kwenye kikao cha kamati kuu maalum. Na mengine mengi...
Ni kupokezana kijiti kwa familia ya Karume na Mwinyi kuwa marais wa Zanzibar.
Lakini aliyempindua Sultan Jamshid ni John Okello. Ambae hakufaidi hata kwa tone mapinduzi ya Zanzibar.
Leo hii...
Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala...
Mahojiano kwa maneno kati ya Sigrada Mligo na Mwandishi wa habari
Mwandishi: Uliwaza nini kuondoka CHADEMA, kwa sababu tunajua kila kitu kina sababu.
Sigrada Mligo: Niliwasha simu nikakuta...
Kwa sasa imekuwa kawaida na watoto wamekuwa wakishangazwa na hali ya sasa. Watoto wanauliza kwanini tunaona polisi na guns mitaani? - Je wanataka kutuua? —
Hii ni historia mbaya kwa TZ na kwa...
Kwa mujibu wa madai yanayodaiwa kutolewa na Sugu na Lema, tuhuma dhidi ya Heche zilianza baada ya viongozi hao kudai kuwa walimtambulisha kwa baadhi ya wadau ili kukusanya michango ya kuendesha...
YAHUSU: OMBI LA MSAADA KUHUSU MCHAKATO WA UTHIBITISHO WA URAIA/NATURALIZATION
Kwa Wahusika,
Jina langu ni Shabbir Moshinali Moawalla, nimezaliwa Tanga tarehe 16 Desemba 1962.
Baba yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.