Feminists wana vituko. Au mpaka iwe China au Marekani ?

Feminists wana vituko. Au mpaka iwe China au Marekani ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,367
Reaction score
12,629
Feminist na malalmiko katika mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa nini hawana wawakilishi ?

Je, anayo hoja azingatiwe au apuuzwe ?
Screenshot_20260514_182747_X.jpg


View: https://x.com/i/status/2054907301652287954

Huyu feminist ni nani ? Hii hapa biography yake pitia.
Screenshot_20260514_183313_X.jpg
 
Watapambana hivyo mpaka mwisho wa dunia. Wataendelea kupambana tuu!
 
Back
Top Bottom