Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji...
-2 Reactions
39 Replies
524 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa...
0 Reactions
17 Replies
368 Views
Wana JF, habari za weekend? Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania. Kumekuwa na...
3 Reactions
2 Replies
183 Views
Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu. Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
0 Reactions
4 Replies
113 Views
Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo...
0 Reactions
4 Replies
182 Views
UCHOCHEZI DEMOKRASIA > Barua ya Msajili yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu > Mafundi, wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki > Waonya...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi...
1 Reactions
6 Replies
150 Views
CHADEMA WALIKOROGA - Heche, wenzake wakichimbia kaburi chama chao - Msajili wa Vyama vya Siasa awapa siku 14 za kukihami chama chao kisisimamishwe - Ni kwa kukiuka makusudi sheria ya vyama vya...
2 Reactions
11 Replies
248 Views
Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali...
0 Reactions
15 Replies
198 Views
Kama wewe ni mfuatiloaji utagundua kwamba watu wa Kanda ya ziwa wamezalisha tabia ya ubaguzi wa kujion wao wanatengwa na kwamba wanastahili Haki zaidi kuliko Watanzania wengine. Wamekuwa...
2 Reactions
18 Replies
298 Views
DKT. MWINYI: SMZ KUJENGA NYUMBA 5,000 ZA MAKAZI UNGUJA NA PEMBA NDANI YA MIAKA MITANO Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein...
1 Reactions
1 Replies
164 Views
Nimeiona barua ya msajili akiitaka Chadema ijieleze kuhusiana na matamshi kadhaa iliyoyatamka baada ya kufunguliwa kufanya shughuri za siasa. Kujifanya kiranja wa vyama vya siasa na kufanya kazi...
8 Reactions
25 Replies
502 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameahidi kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kata ya Nyang'oro endapo watakichagua Chama Cha...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
TANZANIA YETU KAZI. UTU. MAENDELEO. HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2026/2027 Serikali yatenga Bilioni 433.4 Kuimarisha Sekta ya Mifugo na Uvuvi Katika mwaka wa fedha 2026/2027...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Sekta ya uvuvi inaendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi na ustawi wa jamii nchini kwa kunufaisha zaidi ya Watanzania milioni 6 kupitia mnyororo wa thamani wa sekta hiyo. Wanufaika hao ni pamoja...
1 Reactions
1 Replies
80 Views
TARIME-MARA 15.05.2026 MKUTANO WA HADHARA WA MWENEZI KENANI KIHONGOSI TARIME MJINI MKOA WA MARAMkutano
1 Reactions
1 Replies
130 Views
4:00 Asubuhi** 3. Lengo la Ziara: 1. Mkutano wa Hadhara - Mnemia, Kondoa 2. Kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali Kingale 3. Mkutano wa Hadhara - Puma 4. Utangazaji wa Moja kwa...
1 Reactions
4 Replies
134 Views
Back
Top Bottom