Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 784
- 1,313
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua muhimu sana, hatua inayofuata ni tume ya uchunguzi wa jinai kuja kumtaja kinara wa machafuko yaliyotokea.
Wasiwasi wangu ni kwamba endapo CHADEMA itahusishwa kama dalili zinavyoonyesha. Basi huenda huo ndio ukawa mwisho wa CHADEMA.