Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Kazi ya Serikali si kugawa Fedha bali ni kutengeneza mazingira ya kupata Fedha na ili kupata Fedha inaamanisha...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi...
28 Reactions
97 Replies
10K Views
Unaweza kufuatilia tu kuanzia kwa Gama, Mangula, Makamba, Mkama, Kinana, Bashiru na sasa Chongolo utagundua kuingia na Kutoka kwao ni kwa mizengwe mizengwe. Labda Ndio Siasa za Mfumo wa vyama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu...
8 Reactions
72 Replies
12K Views
Kwa uchache Sana, Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai. Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za...
8 Reactions
40 Replies
8K Views
Hii ni programu Maalumu ya Rais Samia kuhakikisha azma ya Tanzania kuwa kitivo Cha Utalii wa Matibabu ambapo inaenda sambamba na ujenzi na uimarishaji wa Miundombinu ya Kutokea Huduma za Afya Nchi...
1 Reactions
14 Replies
799 Views
Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza...
6 Reactions
156 Replies
13K Views
Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati...
0 Reactions
6 Replies
665 Views
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you Rais Samia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha...
18 Reactions
42 Replies
6K Views
Taarifa kwa wanafunzi 238 wa Samia Scholarship 2022/2023 ambao wamepata chini ya GPA ya 3.8. Leo tar.2/Novemba /2023 niliandika taarifa ya kwamba wanafunzi 238 kati ya 640 ambao wana ufadhili wa...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Kenya inapanga kuuza Mashirika yake ya umma zaid ya 10 ikiwemi kituoa cha mikutano cha kimataifa cha Kenyata. Tanzania watawala bado wanakumbatia mashirika ya umma vilivyo, ukiaambia shirika kama...
1 Reactions
7 Replies
819 Views
Anaandika Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo. Katika mazungumzo yangu na Maafisa Mipango na Wachumi wa Wizara, Idara, Mashirika ya Umma, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchi nzima...
1 Reactions
4 Replies
548 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuongeza watoa huduma ili kuboresha huduma ya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni mgogoro wa muda mrefu toka 1974 wa kipande cha ardhi cha hekari 67 uliotatuliwa na Kumalizwa na Mheshimiwa Lukuvi aliyekuwa Waziri wa ardhi. Taasisi ya kilimo Uyole ilishindwa kuwalipa fidia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima...
2 Reactions
5 Replies
979 Views
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Maandiko yanasema muuaji na mtesaji kwa watu wasio na hatia damu hizo zitawalilia mpaka kizazi cha nne, Sabaya ni kizazi cha kwanza cha utesaji akirithi kwa Baba yake. leo 25-11-2022 Sabaya "...
38 Reactions
90 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…