Wadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.
Kusema ukweli wakazi wa KATA hii tunapitia Changamoto nyingi sana kubwa kuliko ni UBOVU wa BARABARA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano...
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi...
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu
Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na...
Jeshi la Polisi mkoani Mara limesema halitasita kuwachukulia hatua kali wote watakaojihusisha na vitendo vya ukeketaji katika mkoa huo wakati wa likizo ya mwisho wa mwaka.
Musoma. Jeshi la Polisi...
Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya...
Salam kwenu nyote,
Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze...
1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce .
Media uchwara zikategesha kamera mbele ya...
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki nzima nimekuwa nahaha kupata walau dola za Marekani 200 ili nifanye kununua vifaa fulani...
Salam,
Nimekua najiuliza mara nyingi sana kuwa hizi nguvu zinazotumika kushabikia vita au maasi kwenye nchi ambazo wala hazituhusu, si tungezitumia hapa kwetu kukemea maovu? Mfano ni haya...
JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba...
LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika...
Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya...
Wakuu,
TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta.
Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe...
Umuofia kwenu wapendwa.
Uwingi wa wasomi na wajuvi katika mambo ya siasa katika nchi yetu ni mkubwa kwa sasa kiasi kwamba unahitajika ustadi wa hali ya juu kwa kila jambo linalopangwa na taasisi...
Habarii.
Tuliondoa makabila na jamii ndogo tuwe Taifa ili kuwa na nguvu lakini hiyo nguvu iko wapi leo ndani ya miaka 61 ya uhuru na watu million 60 plus?, nasikia wanasemeaga nguvu kazi ikiwa...
Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la...
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio...
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi...