Rais ajaye apambane na Ufisadi. Huyu wa sasa hawezi kabisa, anawasamehe

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,727
6,542
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Ofisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
 
Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Offisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

RAIS WA KUPAMBANA NA UFISADI LABDA ATOKE TLP AU CUF LAKINI WA KUTOKA CCM sahau

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Offisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
Huyu hakugombea alikua msaidizi was maono ya yule!

Hajawahi gombea Wala kuwaambia wananchi atawafanyia nini!

Anachokifanya ni kufukuzana na muda ili na yeye apate akale na watoto wake!!
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Offisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
Huyu wa Sasa ni bomu kabisa
 
Mkuu madai yako ni ya jumla sana, tunaomba uanishe ufisadi na kiasi alichokwapua Rais Samia na mawaziri wake. Toa hoja na uweke evidence au facts mkuu.
 
Duu Jana nimekuta mkutano wa Waziri wa Ardhi Waziri Ndachi Dodoma Waziri Mwanasheria Msomi anasema Kuna Mvamizi halali na Mvamizi pandikizi Ilibidi nione aibu Mimi

Waziri kalishwa Tango pori hadharani
Kwa taarifa yako Waziri huo mgogoro ukienda Kisiasa Mungu atakujibu maana wanao onewa ni Wajane Wazee Wastaafu

Mbona juzi Itega umewapa Kanisa Eneo lao walioporwa

Iweje Ndachi mmiliki halali agawane Eneo na Mvamizi?!!

Kama unaona aibu basi huyo Mvamizi amfidie Mmiliki

Amani ya kweli bila haki siyo Amani

Siasa zinapita
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.
a kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
CHADEMA wakisusia uchaguzi, vyama vilivyobaki vyote ni CCM "B", unategemea nini tena hapo ndugu :D
 
Haahaa mada yako nimeipenda. Hujataja nchi, jina la raisi wala nini. Ila yeye anajijua tayari. Kwamba wa sasa ni sehemu ya majizi na kuwa akalee wajukuuu. Nami nakuuliza, unawajua chawa wewe. Unaweza kuta yeye hataki, ila chawa ndio shida kwaajili kuendelea kupata ugali.
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Ofisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
Uzi wa kimaono zaidi.
 
Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.
Aliwaambia bayana kuleni kwa urefu wa kamba meaning kama ni waziri ale ndani ya wizara yake
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Ofisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
Waliopitwa walipambanaje na mafisadi? Toa mfano kwanza Ili tuanzie hapo.
 
Rais ajaye 2025 anapaswa kuvalia njuga suala la wizi wa pesa za umma, huyu wa sasa ameshindwa kabisa na inaonekana ni sehemu ya ufisadi pia. Tunahitaji Rais atakayedili na ufisadi tu make ndio chanzo cha matatizo yote kwenye nchi hii.

Huyu wa sasa amekuwa sio tu sehemu ya ufisadi bali pia amekuwa anawasamehe wezi kwa kuombwa na Wastafu. Hivyo tunahitaji Rais atakaye dili na ufisadi hasa.

Sasa nitashangaa mno kama bado mtamurudisha huyu Ofisini, make huyu anapaswa kweda kulea Wajukuu wake kazi ya Urais haiwezi na ilitokea kama ajali tu kwake ni sawa na kuokota embe chini ya Mgomba.

Kazi kwenu wapiga kura kuhakikisha tunaoata Rais wa kupigania mali za umma zisimalizwe na mafisadi.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom