Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
3,184
6,548
Wakuu,
TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta.
Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu ya taaluma zao.

Kila mwaka mwenge unabaini madudu lakini wakikatiwa mtonyo wanaufyata. Nitawakama wote kuanzia wa 2000 Hadi siku naapa.

Kikosi Cha kupambana na uhalifu kitaambatana na asikari ambaye ni shehe au mchungaji ili kuwaungamisha dhambi zao majambazi kabla hawajakabidhiwa Kwa Baba. Siku ya sita baada ya kuapishwa nitamwona kardinali, shehe mkuu, mkuu wa walokole na mapadree wote wa jimbo kuuu la Dodoma kufanya ibada ya kuwaombea vibaka na majambazi ili safari yao iwe njema kwenda kuzimu.

Sheria za usalama barabarani zitafuatwa Kwa 100%. Ukipigwa faini mara mbili ndani ya siku Saba unapelekwa selo wiki 2 Kwa gharama zako. Lazima ulipe 100,000 Kwa kontlo namba ndo utoke.

Ukipatika mara 10 Kwa mwaka unapewa kosa la ujambazi.

Nikiwa Rais, watumishi wa umma watalipwa vzr, lakini lazima watafuata sheria na watachapa kazi kweli.

Kulia una njaa lazima ukamatwe ukae gereza la kilimo. Haiwezekani libaunsa linakula ukoko wa jero, linafuga mwili wa Nini?

Nitaunda serikali ndogo, mawaziri na manaibu wasiozudi 50!

Nitaisuka TAKUKURU upya Kwa kuajiri madogo Toka vyuo vikuu, uhamisho kutoka idara na mamlaka zingine na uteuzi Toka sekta binafsi.

Wala rushwa tutawaadabisha Kwa machozi, jasho na damu. Ukithibitika tu umekwisha.

Naomba idara ya usalama mridhie, mnitengenezee connection niteuliwe na chama kitakachokuwa na uwezo wa kushinda mwka 2030 ili nitoe mfano.
 
Wakuu,
TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta.
Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishia halamshauri kwenda kupangiwa majukumu ya taaluma zao.

Kila mwaka mwenge unabaini madudu lakini wakikatiwa mtonyo wanaufyata. Nitawakama wote kuanzia wa 2000 Hadi siku naapa.

Kikosi Cha kupambana na uhali kitaambatana na asikari ambaye ni shehe au mchungaji ili kuwaungamisha dhambi zao majambazi kabla hawajakabidhiwa Kwa Baba. Siku ya sita baada ya kuapishwa nitamwona kardinali, shehe mkuu, mkuu wa walokole na mapadree wote wa jimbo juu la Dodoma kufanya ibada ya kuwaombea vibaka na majambazi ili safari yao iwe njema kwenda kuzimu.

Sheria za usalama barabarani zitafuatwa Kwa 100%. Ukipigwa faini mara mbili ndani ya siku Saba unapelekwa selo wiki 2 Kwa gharama zako. Lazima ulipe 100,000 Kwa kontlo namba ndo utoke.

Ukipatika mara 10 Kwa mwaka unapewa kosa la ujambazi.

Nikiwa Rais, watumishi wa umma watalipwa vzr, lakini lazima watafuata sheria na watachapa kazi kweli.

Kulia una njaa lazima ukamatwe ukae gereza la kilimo. Haiwezekani libaunsa linakula ukoko wa jero, linafuga mwili wa Nini?

Nitaunda serikali ndogo, mawaziri na manaibu wasiozudi 50!

Nitaisuka TAKUKURU upya Kwa kuajiri madogo Toka vyuo vikuu, uhamisho kutoka idara na mamlaka zingine na uteuzi Toka sekta binafsi.

Wakarushwa tutawaadabisha Kwa machozi, jasho na damu. Ukithibitika tu umekwisha.

Naomba idara ya usalama mridhie, mnitengenezee connection niteuliwe na chama kitakachokuwa na uwezo wa kushinda mwka 2030 ili nitoe mfano.
Angalia usijikojoleer....
 
Back
Top Bottom