Kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM ni fake katika siasa

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
5,159
5,400
Umuofia kwenu wapendwa.

Uwingi wa wasomi na wajuvi katika mambo ya siasa katika nchi yetu ni mkubwa kwa sasa kiasi kwamba unahitajika ustadi wa hali ya juu kwa kila jambo linalopangwa na taasisi yoyote.

Taasisi ya CCM kwa sasa na zamani ni pana sana. Imejaa watu wengi wa aina zote. Katibu mkuu huyu aliyetoa taarifa ya kujiuzulu mbele ya mwenyekiti wake kwa physically yake na saikolojia hana ubavu wa kujiuzulu kwa hiari yake vinginevyo ni mpango kamili ambao ccm wanaujua na wana lengo nao.

Hakuna jambo la bahati mbaya katika siasa ila viongozi wa CCM pevukeni zaidi katika kupanga mambo yenu jamii ya sasa ina maarifa na forecast kubwa inayoongezeka siku hadi siku.

Kila la kheri katibu mkuu mpya ajaye.
 
Umuofia kwenu wapendwa.
Uwingi wa wasomi na wajuvi ktk mambo ya siasa ktk nchi yetu ni mkubwa kwa sasa kiasi kwamba unahitajika ustadi wa hali ya juu kwa kila jambo linalopangwa na taasisi yoyote.

Taasisi ya ccm kwa sasa na zamani ni pana sana.Imejaa watu wengi wa aina zote.Katibu mkuu huyu aliyetoa taarifa ya kujiuzulu mbele ya mwenyekiti wake kwa physically yake na saikolojia hana ubavu wa kujiuzulu kwa hiari yake vinginevyo ni mpango kamili ambao ccm wanaujua na wana lengo nao.

Hakuna jambo la bahati mbaya ktk siasa ila viongozi wa ccm pevukeni zaidi ktk kupanga mambo yenu jamii ya sasa ina maarifa na forecast kubwa inayoongezeka siku hadi siku.

Kila la kheri katibu mkuu mpya ajaye.
kama ingekua fake nafasi ingejazwa palepale on the spot, but ukiona kuna kaimishwa mtu then hiyo haikua plan na kwahivyo mchakato wa kumtafuta mtu makini wa kufiti pale ndio umeanza...
Ukikamilika then atatangazwa....
 
Back
Top Bottom