Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Father Peter Rwezahura of the Claretians Missionaries has been missing for six months after disappearing from Makoko Centre in the Catholic Diocese of Musoma. Maoni ya mdau kutoka X Polisi...
0 Reactions
9 Replies
331 Views
Tazama Eneo ambalo Kilipokutwa kicha cha James Temba, ni yule aliokotwa mto Msimbazi akiwa anaelea huku amekatwa Kichwa
0 Reactions
7 Replies
275 Views
Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Msikilize Anajenga hoja kwa kutumia higher mental faculties of reasoning in Law Tatizo akiahidiwa kushiriki uchaguzi wa wabunge ana cross kwenda "ACT"..... To me is disqualified as worthy of...
7 Reactions
38 Replies
732 Views
Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
2 Reactions
5 Replies
166 Views
Wananchi mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli, huku wengi wakionesha kutoridhishwa na mwenendo huo wa bei kuendelea kupaa. Aidha, wamehoji kauli ya...
5 Reactions
11 Replies
347 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la...
1 Reactions
13 Replies
272 Views
Tayari tumepata majina ya washitakiwa wengine watakaounganishwa na Heche kwenye kesi ya UONGO ya Uhaini anayoandaliwa na Kingai Tunaendelea kuchambua wasifu wa washitakiwa hao Kama ni Washitakiwa...
6 Reactions
17 Replies
642 Views
Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani...
2 Reactions
7 Replies
197 Views
DKT.MIGIRO AIMARISHA USHIRIKIANO KIMATAIFA NA MABALOZI WA CUBA, VIETNAM, NA UN Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Asha-Rose Migiro, kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo...
2 Reactions
7 Replies
169 Views
Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali...
2 Reactions
3 Replies
184 Views
▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Dar es...
5 Reactions
25 Replies
739 Views
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, amenusurika kipigo baada ya kundi la vijana wanaojiita G-Z kumrushia mawe wakati akihutubia wananchi leo. Tukio hilo limetokea kufuatia hasira za vijana hao...
37 Reactions
109 Replies
4K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na...
6 Reactions
31 Replies
602 Views
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana. Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata...
3 Reactions
8 Replies
563 Views
Wameanza kutest mitambo. ============== Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ili kumpa nafasi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
3 Reactions
27 Replies
690 Views
  • Featured
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa...
20 Reactions
112 Replies
4K Views
😆😆😆😆
1 Reactions
12 Replies
208 Views
Back
Top Bottom