Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 44,008
- 36,138
Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani wanaonekana kama matapeli tu wakisiasa wanapokua kwenye medani za siasa nchini.
Hata hivyo,
kukosa maono kwa viongozi wa upinzani, hasa wa kitaifa, kumechangia pakubwa zaidi udumavu huo wa kisiasa miongoni mwa vyama vya upinzani.
Kama mdau wa siasa nchini,
unashauri nini kifanyike ili walau udumavu wa vyama vya siasa upate nafuu?
Mungu Ibariki Tanzania