Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania.
Ameyasema haya mkoani Kigoma alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM kwa Nyakati tofauti katika wilayani Buhigwe, Kasulu pamoja na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa, akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.