Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

guest-1788671453
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU...
8 Reactions
58 Replies
1K Views
Wasaalam Makampuni ya simu yamekuwa yakituma ujumbe wa kuhimiza wananchi "kudumisha amani." Kwa mtazamo wangu, ujumbe huo unaweza kuwa na nia njema. Hata hivyo, unaibua swali muhimu: je, amani...
8 Reactions
17 Replies
205 Views
Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe! Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa Kuna mtu mmoja kawapa...
6 Reactions
46 Replies
850 Views
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana. Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo...
31 Reactions
113 Replies
2K Views
Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama...
12 Reactions
19 Replies
504 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko...
10 Reactions
57 Replies
922 Views
Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa...
18 Reactions
45 Replies
882 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na...
1 Reactions
52 Replies
1K Views
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent. ikumbukwe...
1 Reactions
9 Replies
172 Views
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani...
8 Reactions
7 Replies
334 Views
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na...
1 Reactions
10 Replies
267 Views
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini...
3 Reactions
143 Replies
22K Views
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia...
30 Reactions
207 Replies
9K Views
Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku...
0 Reactions
10 Replies
211 Views
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale...
8 Reactions
61 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Fikiria, Una Kaka yako, Katekwa . Unatakiwa ukareport Polisi TUKIO hilo Unakutana na Habari ya WAZIRI ,anakuambia, Kama unaushahidi wa Utekaji, uniletee hapa !!. SI TU kuwadharau Wananchi...
1 Reactions
3 Replies
91 Views
Huyu Jamaa amekuwa anazungumza vitu kwa kutishia amani za watu na vyombo vya dola vipo kimya kabisa! Inaonyesha anapewa nguvu na watu wa juu katika serikali. Ila watambue kuna mwisho wa haya yote...
3 Reactions
19 Replies
606 Views
Back
Top Bottom