Anauzika na kunadika kirahisi sana kwa wananchi na anazungumzwa vizuri sana ndani na nje ya nchi..
Hayupo wa kumshinda kwa mvuto wa kisiasa, uwezo wa kiuchumu na ushawishi katika ujengaji hoja na...
Miongoni mwa Wadau hao, Henry Kilewo, amependekeza kwa watu wa dini kuacha kuwaombea Viongozi wa kisiasa kwenye nyumba za ibada, Badala yake jukumu hilo walifanye wenyewe, maana wenyewe ndio...
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga.
Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli Ikulu Zanzibar aliyefika...
Kauli inayotrend huko Zanzibar ni KURASA ZA ILANI YA CCM ZIMEKWISHA; hii inamaanisha kwamba kazi aliyokabidhiwa mzee Mwinyi amemaliza anasubiri kupewa majukumu mengine .
Lakini najiuliza nini...
Mojawapo ni jina lake sahihi: Kihomoka, Kiyomoka, Kyomoka, Kiomoka, n.k. Wenyeji wa Kakonko waliomo humu watarekebisha.
Ni kizuizi cha kukagulia magari. Kipo Kakonko mkoani Kigoma, ikiwa ni...
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama Taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
•...
Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia...
Nimekuwa nikitafakari sana kwa kina kuhusu 4R za Rais Dkt. Samia. Leo nimeona niwezekutoa ufafanuzi.
Hebu ungana nami katika kuelewa jambao hili.
Reconciliation (Maridhiano)
Rais Dkt. Samia...
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote...
Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina...
TAWA wanacheza na akili za Wapumbavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku-reason hakupo kabisa.
Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi...
Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza...
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane.
Hivi statement ya deni...
Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine...
Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao.
Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu...
MHE. ABDULAZIZ M. ABOOD (MB) ATAFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini anataraji kufanya Ziara tarehe 29.12.2023 katika Hospitali ya...
Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa?
Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya...
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...