Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama iharakishe Hukumu dhidi ya Lissu ili akipata na Hatua Anyongwe Hadi Kufa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
1 Reactions
21 Replies
929 Views
Kwa Masilahi Mapana nya Marekan na Ulaya, DEMOKRASIA ni sehemu ya hakikisho la Usalama wao wa NCHI. Wote wanaoegemea Urusi na Uchina, wanaendelea KUANGUKA. Tumemnyakua Maduro, Tumeblok Cuba...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
  • Closed
Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa...
2 Reactions
5 Replies
221 Views
MATAMKO/MAAZIMIO YA USA NA EU YAMESAIDIA NINI WAPINZANI AFRIKA? Kabla ya Azimio la Zanzibar la 1992, lililozaa mfumo wa vyama vingi Tanzania, kulikuweko na kitu kilichoitwa matamko na maazimio ya...
-2 Reactions
58 Replies
1K Views
  • Redirect
Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe amedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Mei 21 na watu waliokuwa na silaha za moto. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni...
5 Reactions
10 Replies
213 Views
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
59 Reactions
270 Replies
21K Views
Kauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua. Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.
4 Reactions
37 Replies
946 Views
Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro...
5 Reactions
12 Replies
333 Views
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza. "Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka...
1 Reactions
31 Replies
459 Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema serikali haitavumilia vitendo vya kushikilia mali na vitendea kazi vya wafanyabiashara, akisisitiza kuwa tabia hiyo inakwamisha uzalishaji na ukuaji wa uchumi...
3 Reactions
16 Replies
366 Views
Samia ataondoka. Hilo halina mjadala... Ila SiSiEmu kuondoka ni pasua kichwa na itahitajika njia na mbinu nyingine. Why? Kwa sbb SiSiEmu ni zaidi ya chama cha siasa, ni mfumo wa kiharamia wenye...
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Polisi watatofautishaje huyu kaja Kuandamana, yule anaenda kupiga Kura? Kwa ninavyowajua Ndugu zangu wote mtawekwa kapu moja MTACHEZEA KICHAPO halafu baadae direct kituoni kuchangia uchakavu...
10 Reactions
34 Replies
935 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2026/27 ya Wizara ya Ujenzi leo, tarehe 20 Mei 2026, amesema kuwa...
0 Reactions
8 Replies
301 Views
Na, nini hasa lengo la kuwarubuni kifikra na kuwatumia baadhi ya vijana wa chama hicho cha siasa hasa wale wasiojitambua mpaka wakukubali kua mercenaries na kujifunza masuala ya kigaidi na...
4 Reactions
97 Replies
4K Views
Halitakuwa jambo la kushangaza ukisikia Mwanasiasa Mrisho Gambo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM akihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Taarifa zilizotolewa na...
0 Reactions
10 Replies
420 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Je, kesi ya Samia ICC imefikiia wapi? Wako wapi akina Polepole? Wako wapi ambao maiti zao hazikupatikana? Tanzania inaenda wapi? Tunangoja kujua hatima ya unyama na...
4 Reactions
22 Replies
417 Views
Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
21 Reactions
38 Replies
905 Views
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya. Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu. Ili Zitto na chama...
15 Reactions
20 Replies
463 Views
Back
Top Bottom