Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 "Katika mwaka wa fedha 2026/27, Wizara ya Mambo...
2 Reactions
4 Replies
147 Views
Kijana ambaye ni Chawa wa CCM, Kijana anayekula kwa Pesa za CCM, huyu hawezi kukushauri lolote kuhusu PETER MSIGWA. Mbona hawakusema kuhusu SELASINI?. Kwann Msigwa kurejea CHADEMA imekua...
4 Reactions
9 Replies
287 Views
Ndivyo ninavyoweza kusema. Kuna vitu vingine vinatokea pengine sio kwa bahati mbaya. Aidha ni roho wa Mungu katika kinywa cha mwanadamu au ni mtu mwenyewe katika kuponya hali fulani. CHADEMA...
1 Reactions
3 Replies
133 Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, ameeleza kuwa operesheni, doria, na misako ya...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Nchi inapowekewa vikwazo na Marekani hukabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, kuporomoka kwa sarafu yake, na uhaba wa bidhaa muhimu kama dawa na vyakula. Kisiasa, nchi hiyo hutengwa...
8 Reactions
27 Replies
580 Views
Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA. Hawezi Kukaa na TEC Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa Hawezi Kukaa na...
3 Reactions
7 Replies
305 Views
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa?? Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ? Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi...
11 Reactions
27 Replies
751 Views
Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Simulizi ya Sugu toka kwa mkazi wa Géita alivyouawa mama na mtoto wake. Very sad story from Sugu! Akamalizia na MATAKO YENU
2 Reactions
2 Replies
217 Views
Wakuu Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema: Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi. "Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea...
1 Reactions
9 Replies
261 Views
Tukio hilo limedaiwa kutokea jana jijini Arusha baada ya gari la matangazo la CHADEMA kugongana na gari la abiria coastal maarufu inaitwa Wamusoma linalofanya safari za Arusha Mjini kwenda...
0 Reactions
4 Replies
207 Views
Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli...
3 Reactions
5 Replies
228 Views
Msigwa na Sugu ni kambi mbili tofauti ndani ya Chadema kwasababu Msigwa ni adui namba moja wa Bestfriend wa Sugu, William. Nikauliza kijiwe vipi hali ikoje? Wakaniambia wao wanaamini Msigwa...
1 Reactions
7 Replies
216 Views
  • Redirect
Kuna mtu ukimuona unayaona mamlaka ndani yake, unauona uongozi, busara na hekima za kuwaongoza watu Kuna mtu akiongea unauona mwongozo, unayaona maelekezo, unaliona suruhisho la matatizo na...
8 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwanza kabisa nikuambie ukweli waziri mkuu upo hapo kwenye hicho kiti lakini Watanzania wanakuchukia sana. Unahusishwa na ufisadi mwingi. Kumiliki mabasi yanayofahamika huku wewe ni kiongozi wa...
2 Reactions
Replies
Views
Na wahakikishia, hata itokee Leo hiii Lissu Yuko Nje, HATUA YA KWANZA NI KUKUTANA NA PETER MSIGWA !!.
3 Reactions
10 Replies
215 Views
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko. Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai...
1 Reactions
1 Replies
131 Views
Back
Top Bottom