Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri...
Bila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta...
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.
Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi...
Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana,
Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la...
Pengine kuna mtu ameshaposti hii lakini nadhani ni vema nikaiweka pia, just in case. Magazeti ya Habari Corporation (Mtanzania, Rai, etc) sasa yanapatikana kwenye mtandao. Tovuti yao ni newhabari.com
Bwana Said Mtanda , ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ametangaza hadharani na kumuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuanza kuwalipa posho ya sh 120, 000 , waandishi wa habari wanaoambatana nao kwenye...
Sasa tunakwenda na Maono ya KAZI Iendelee
Kipande cha Hapa KAZI Tu kimesimama na Legacy yake hivyo tunamwombea kwa Mungu wa Mbinguni Shujaa John Pombe Joseph Magufuli astarehe kwa Amani Pema...
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata
https://youtu.be/auOKnvgArZ8?si=N9EDTfFnNgqYzqQ6
Balozi wa Palestina...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka...
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto...
Nikubali yakuwa Mimi ni mraibu wa mapenzi hasa mapenzi ya jinsia mbili tofauti.
Moja ya vitu vinavyonivutia Kwa mpenzi wangu yaani mke wangu ni uzuri wa sura yake, kucha za miguu yake, urefu...
Serikali imesema italipa Bilioni 260 Kwa Kampuni ya Indiana Resources kama itashindwa kwenye kesi waliyofungua kupinga hukumu ya awali.
Cha kushangaza Wakili Mkuu wa Serikali anasema kabisa...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amehudhuria Ibada ya Jumapili ya Mwanza baada ya Christmas wilayani Hai mkoani Kilimanjaro
Mh Mnyika aliongozana na Viongozi kadhaa wa Chadema wakiwemo...
Awali ya yote napenda kutoa pole na hongera kwa kila mwananchi kwa pilika za mwaka 2023. Mengi ya kuumiza, kutaabisha, kutia faraja na furaha yalitukia miongoni mwetu. Mungu baba wa rehema alikuwa...
Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la Tanzania zimekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu na bibi yetu mama Maria Nyerere aliyekuwa mke wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere ametimiza miaka 93.
Katika kutimiza huko miaka hiyo Rais...