Bwana Mwigulu, Mchumi wa Makaratasi, uliyetembelea 'Uwezo wa Mzee Mpango", Acha Siasa za 1900, Unabwabwaja, Watanzania wa Sasa sio wa kuambiwa Upuuzi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,124
Reaction score
93,247
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??

Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?

Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.

Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi Leo, Usalama, Polisi, wameshindwa kuwamkamata Hawa watu Wabaya???

Tuite msaada wa Nje, Vyombo vije vitusaidie ?.

Bwana Madelu,,,, Wewe tunajua umesoma kwa kukalili, Mtu anayekalili Huwa si mwenye akili, ndio sàbabu UMETHIBITISHA KUSHINDWA.

Wewe ni msomi makaratasi, Kua na ELIMU kubwa sio kua na Intelligence!!.
 
Amesoma wapi uyo
Vitu vingine viko wazi,
Amna msomi apo
Acha kuifananisha ELIMU na vitu vya kipuuzi
 
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??

Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?

Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.

Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi Leo, Usalama, Polisi, wameshindwa kuwamkamata Hawa watu Wabaya???

Tuite msaada wa Nje, Vyombo vije vitusaidie ?.

Bwana Madelu,,,, Wewe tunajua umesoma kwa kukalili, Mtu anayekalili Huwa si mwenye akili, ndio sàbabu UMETHIBITISHA KUSHINDWA.

Wewe ni msomi makaratasi, Kua na ELIMU kubwa sio kua na Intelligence!!.
Ana uwezo mdogo mno kichwani. Sijui aliokotwa wapi?
 
Kuna mtu ukimuona unayaona mamlaka ndani yake, unauona uongozi, busara na hekima za kuwaongoza watu

Kuna mtu akiongea unauona mwongozo, unayaona maelekezo, unaliona suruhisho la matatizo na unaziona amri au katazo la kuacha uovu na uharamia

Watu wa aina hiyo ndio hufaa kushika nyadhifa kubwa kubwa kama nafasi ya Waziri Mkuu, kuongoza wizara na hata nafasi nyingine nyeti ambazo zikilegelega Taifa linalegalega pia

Ni jambo la bahati mbaya sana kumpa mtu uongozi mkubwa ambaye yeye mwenye hajui kama anaweza kumuda madaraka hayo na si hivyo tu, bali hata watu wa kawaida wanamuona kabisa hafanani na haendani na madaraka aliyopewa

Kwasasa mtu huyo ameshaanza kujionyesha hadharani miezi sita tu baada ya kupewa madaraka hayo

Kadiri siku zinavyozidi kusongea anazidi kuwadhibitishia waliompa madaraka kwamba walikosa mtu sahihi wa kumpa hayo madaraka

Uzuri ni kwamba anawadhibitishia kupitia matamshi yake yasiyo ya kiuongozi hadharani, mienendo yake isiyo ya kiuongozi na kwa jinsi asivyojua uzito wa cheo chake alichonacho kwa sasa

Kiongozi mzuri lazima ajue uzito wa madaraka aliyo nayo na ajue namna ya kuubeba uzito huo

Kama alivyo Rais, Waziri mkuu pia ni Taasisi. Sio lelemama. Uwaziri Mkuu hauhitaji mtu anayeongea vitu bila kujua vitaleta madhara gani

Waziri Mkuu ni mtu anayetakiwa kujua kuwa kila anachoongea hadharani kinachukuliwa kwa uzito mkubwa

Anatakiwa ajue kuwa katika maongezi yake anaweza kuwa anatoa maelekezo au katazo la kitu fulani moja kwa moja

Kwa mfano, kuhusu utekaji mtu mwenye haiba ya uwaziri Mkuu baada ya kujua kuwa ile ni "michezo" ya kuchafua nchi inayofanywa na watu, badala ya kuongea kwa kejeli alitakiwa avielekeze vyombo husika kukomesha swala hilo ili kulinda heshima ya nchi

Tujiulize kwa pamoja; hivi waziri Mkuu anayechekelea nchi kuchafuliwa na watu wanaofanya michezo ya kuteka teka watu na kuwaumiza hovyo hovyo anafaa kweli?

Kama Waziri mkuu hawezi kulinda taswira ya nchi, ni nani mwingine wa kuilinda?

Kama waziri Mkuu anaweza kuona kwamba viongozi wa dini kutekwa na wengine kupotezwa ni mambo ya maigizo, na hao waigizaji wa scene za hovyo kiasi hicho ofisi yake inawajua lakini ameona awaache waendelee na maigizo yao ya kuumiza na kuondoa uhai wa watu analisaidia taifa??

Nchi yenye waziri mkuu wa aina hiyo inatafakarisha sana na nchi hiyo isipochukua hatua madhubuti itaangamia hivi karibuni
 
Hapana jamaa ako na spark

Ila wapi ielekee Tuache mda Kuna vitu huwezi fanyia maigizo and I see him
 
Kuna mtu ukimuona unayaona mamlaka ndani yake, unauona uongozi, busara na hekima za kuwaongoza watu

K??

Nchi yenye waziri mkuu wa aina hiyo inatafakarisha sana na nchi hiyo isipochukua hatua madhubuti itaangamia hivi karibuni
CCM inapaswa kuondolewa kabla mwaka huu haujaisha.
 
ile ya muhimu zaidi ni kazi ifanyike, ionekane na inufaishe wananchi wote,

masuala ya kufanana nadhani ni ya kifamilia zaidi na mnaweza kuyafanya na kuchunguzana huko kwenye koo wenu 🐒
 
Kwanza kabisa nikuambie ukweli waziri mkuu upo hapo kwenye hicho kiti lakini Watanzania wanakuchukia sana.

Unahusishwa na ufisadi mwingi. Kumiliki mabasi yanayofahamika huku wewe ni kiongozi wa umma na haukutaja namna ulivyoyapata wewe na mke wako.

Tatu unachukiwa sababu ulishawahi kuwatamkia Watanganyika kuwa hata ni masikini kiasi gani walipe tozo za serikali zisizofaa hata kama watahamia Burundi.

Ulishadanganya umma na mataifa ya nje kuwa Wakenya ndio walifanya vurugu ile Oktoba 29 na kudharau kuwa Watanzania wasio na hatia walikufa kwenye uchaguzi huo.

Usitumie tumie dhehebu la Kilutheli unalosali kujipigia debe kama ulivyopaka mawe ya Watanganyika mwaka ule...
 
Mwaka 2030 mawe sijui yatakuwa na hali gani 😭

images.jpeg
images (1).jpeg
 
Mm nilidhani huyu jamaa mnayemuita waziri mkuu alishaacha tabia yake ya kukurupuka na kuropoka ovyo, kumbe ndo kafika. Alishawahi kuropoka kuhusu ugaidi wa Rwakatare kuwa yeye Mwiguru anao ushahidi kuwa Rwakatare ni gaidi na huo ushahidi atautoa duniani na mbinguni. Matokeo yake jamuhuri ikakosa kuthibitisha ugaidi wa Rwakatare na yeye mwenye ushahidi wa kutoa akanywea. Sijui anasubiria kuutoa mbinguni? Waziri mkuu wa nchi ya kusadikika na awamu hii Tanzania imepatwa, tuzidi kumuuliza Mungu ni wapi tumemkosea au ana kusudi lake?
 
Back
Top Bottom