Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia.
Miongoni mwa...
Sasa saa imefika kwa viongozi wetu wa Dini kutotenganisha Dini na Siasa.
Wakati umefika viongozi wetu wa Dini wasikubali tena kuambiwa eti Siasa haiwahusu wao kama viongozi wa Dini kwa sababu...
Kwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24...
Habari zenu wana JF.
Husikeni na mada tajwa hapo juu.
Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo.
Kuanzia...
US ndo nchi yenye strong army and battle nyingi duniani.
Haijawai kutokea Kwa Governor au Senetor yeyote kuliamrisha jeshi la Marekani kuzibua vyoo,mitaro na kuzoa takataka. Ata hapo jirani Kenya...
Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo.
Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe.
Mwaka 2018, Bwana Mbowe...
Nasadiki kuandika haya ili hukumu ijapotolewa iwe ya haki.
Leo 17.03.2023 ni siku ya kumbukukumbu ya kifo cha a.k.a jeshi la mtu mmoja au Legendary namuita hivyo, mzee John Joseph Pombe...
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa...
Ndugu zangu kabla ya yote naomba wenye ufahamu wa sheria ya lidandasi wa tujuze inasemaje . Meneja mkuu wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi amewatangazia wafanyakazi wake kusudio la kupunguza wa...
MAANDAMANO HAYANA TIJA KATIKA SIASA ZA SASA - (SIASA KAZI NA MAARIFA)
Na Comrade Ally Maftah
Moja kati ya jambo ambalo halitaungwa mkono na vijana wa kileo ni suala la kuandamana.
Kuandamana ni...
Wanajamvi,
Tokea mwanzo wengine tulistuka, mbona mazingaombwe? Mpaka waleo Sijawahi kuona kapanda daladala tena vipiiiiiiiiii?
Kina mama wa Tandale mbona hawatembelei japo kuwashukuru...
Uongozi huwa ni kuonyesha Njia uongozi huwa ni pamoja na kusimamia yale mnayowaaminisha mnaowaongoza kwa vitendo.
Sasa Chadema kupitia mwenyekiti wake Ndugu Aikael Freeman Mbowe Mmewatangazia...
Huyu RC wa hapa dar namshangaa sana kwa ukurupukaji wake . Unatangaza kuweka vikosi 8000 vya majeshi mtaani na magari ya kijeshi hivi huyu yupo sawa kweli?
Kwani maandamano yana shida gani watu...
NEEMA YA MAJI KATA YA MAGADU
Wananchi wa mitaa ya Kidondolo, Forkolend na Kididimo Kata ya Magadu kwa nyakati tofauti tofauti wameongea na kuishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na...
Watanzania wengi wanazidi kukata tamaa na siasa hususan za uchaguzi. Kiwango cha hamasa kinazidi kushuka kila baada ya miaka 5. Usambazaji elimu ya uraia pekee hautoshi kusahihisha kasoro hii...
Kule Kenya LSK wameenadamana mitaa ya Nairobi kupinga kile wanacho dai ni Ruto kutaka kuingilia uhuru wa Mahakama, hii ni baaada ya juzi kati kuwatuhumu Majaji kwamba wanahongwa kukwamisha...
Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru.
Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za...
1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi.
2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa...