Picha: Polisi USA VS Polisi wa Tanzania

Picha: Polisi USA VS Polisi wa Tanzania

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,117
Reaction score
2,485
photo-output.jpeg

Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali.

Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
 
Matumizi ya akili vs matumizi ya nguvu nyingi zisizo na tija.

Yalivyoinua hapo pikipiki huwezi amini ndio hao hao tunaoambiwa watu 700 wamepotea na hawajulikani walipo.
 
View attachment 3593636
Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali.

Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
Yaani kama hayo ndo wanayofanya basi kumbe ni kweli akili za kufikilia zilishatoweka. Wao wanafikilia kubeba vitu na kutumia nguvu,
 
Back
Top Bottom