Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa...
Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya...
Ni kweli hakuna anayependa vurugu nachoshangaa jumbe za tunza amami kupitia line yangu ya simu nimetumiwa mara kwa mara neno haki halisemwi je amani bila haki inawezekana!
Mwenyekiti wa umoja wa kuwezesha Waandishi wa Habari na wapiga Picha Wilaya Tarime, Tarime Reporters Empowerment Union (REU), Jacob Karoli akizungumza kwa niaba ya waandishi Wilaya ya Tarime...
Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime,julai 5,2026 kuhusu hali ya usalama nchini
------
Tarehe 19, Juni 2026 Jeshi la Polisi Tanzania lilitoa taarifa kwa wananchi juu ya hali ya...
Mmeomba viinua mgongo kipindi mkiwa bungeni mmelipwa (Lissu alilipwa) mmeomba ruzuku zilizo kwama mmelipwa zote na Rais Dr Samia Suluhu Hassan,
Lissu ameomba Hela za matibabu amelipwa zote Leo...
Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote.
Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi...
JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema
"Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wake Suez ambaye taarifa za kifo chake iliripotiwa...
Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba...
Sasa hivi kila neno la CHADEMA ni Sheria kwa Wananchi.
Na huu ujumbe umfikie msajili wa Vyama vya siasa Nchi, Nyahoza na Mtungi.
Maamuzi ya Msajili wa vyama ni kumfurahisha Samia na Genge lake...
Muda ni mwalim mzuri sana, kuna watu wako busy kubeza kazi aliyoifanya mwalimu Nyerere
Ninataka niwaeleze kwamba kuna kundi kubwa hasa la watu fulani wako busy kupotosha wananchi juu ya history...
Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama.
Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote.
Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amesema kuwa Rais ameshatoa maelekezo kuwa...
Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA, Amani Golugwa amesema kuwa chama kinatilia mashaka kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa John Heche
Mama mjane na wana Tarime naomba niwaambie jambo moja. Na...
Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.