Leo Nape unaipiga mkwara Marekani?

Leo Nape unaipiga mkwara Marekani?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,796
Reaction score
40,395
Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao?

Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?

Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
 
Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
Wale wale pathetic idiois wanadhani ukiwa nchi huru ndi hujadiliwi.

Major nations huwa zina commit blunders na wanajadiliwa sana tu. Tanzania ni nani?
 
Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
Bunge hatuna kitambo sana. Ni kikundi cha wapenda sifa tu na kujilimbikizia malupulupu kibao
 
Nape ni
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
confused US government inafaa kupuuzwa tu 🐒
 
Mjadala wa leo umenifurahisha sana, hongera kaka yangu nape nnauye, dada yangu esther bulaya, na yule mwingine nimemsahau

NB: WAO WAMECHAGUA UPANDE HUO, WEWE UNAEUMIA UNAO UHURU WA KUCHAGUA UPANDE MWINGINE.
 
Anajishaua, Marekani ndo walimfadhiri masomo ya chuo... Hadi wakampeleka miezi 6 kushangaa meli Marekani.. Leo kasahau
 
Mjadala wa leo umenifurahisha sana, hongera kaka yangu nape nnauye, dada yangu esther bulaya, na yule mwingine nimemsahau

NB: WAO WAMECHAGUA UPANDE HUO, WEWE UNAEUMIA UNAO UHURU WA KUCHAGUA UPANDE MWINGINE.
Kuwa na KAKA BUMUNDA ni Fedheha, kuwa na DADA MSAGWAJI ESTA nako ni fedheha
 
Back
Top Bottom