Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025...
Kombo amewaalika Seneta Ted Cruz kuja Tanzania, kwamba serikali itagharamia kila kitu ikiwamo tiketi ya ndege na hoteli, kwa waMarekani imeonekana kama rushwa.
Huu hapa ni utambulisho mfupi tu...
Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema.
Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu...
Ridiculous! Salim Kikeke ni mwanachama wa CCM kindakinda na Chawa mkubwa wa Samia. Leo anamhoji Chawa namba 2 wa Samia Rose Migiro. Kuna swali la maana litatoka hapo?
Most likely wamekaa kwanza...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Hii ni Makala yangu ya kwanza kwa mwaka huu, 2026, hivyo naomba kuanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuturehemia kwa...
Wanabodi
Nimeona hizi video clips mbili za Rais Samia akizungumzia bei ya mafuta.
Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu,
Kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa...
Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi...
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kufanya tathmini ya kina ili kubaini na kurekebisha sababu zinazofanya wananchi kukosa imani na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Asha-Rose Migiro, amefafanua kiundani sababu zilizoifanya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho kuvipongeza vyombo vya ulinzi na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia
Kauli hiyo...
Watu wengi bado wanaamini kwamba matamko ya mataifa makubwa kuhusu demokrasia, haki za binadamu yanaweza kuleta mabadiliko makubwa moja kwa moja ndani ya Tanzania. Lakini ukiangalia uhalisia wa...
Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa...
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali.
TAKUKURU wilaya walikuwa...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Leo
Kufuatia ujio wa mitandao ya kijamii watu hawana muda kusoma makala ndefu,
Nawawekea a short version ya salient features za...
Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi?
Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara.
Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne.
Tulitafuta Rais tukampata Samia..
Anatumia Mali za...