Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,719
- 10,238
Mzee Mahita ameongea mambo mengi kiasi kwamba jamii haiamini anachosema.
Mfano rais mstaafu kutumia vibaya madaraka kwa sababu katiba tuliyinayo ni mbovu na kumteua Said Mwema kuwa Igp kisa tu ameoa kwao. Na keleza namna vyombo vingine vya usalama vinakamata watu na kuwaweka kwenye sero za polisi.
Pascal huko kwenye mitandao ya jamii anashusha madini vibaya mmno. Mfano anaeleza ukweli jinsi Cuf ya maalim Seif ilivyonyimwa urais mwaka 1995.
Pascal anaeleza kwa uchungu sana jinsi Azory gwanda alivyotekwa na kupotezwa na vyombo vya usalama.
Hizi busara wameaanza kuzipata wapi na lini?