Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Utambulisho Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Mbunge Mwita Waitara Na sasa wanafunzi wa o-level na a-level wanapewa, yaani fedha ya uendeshaji wa mashule inaenda pale shilingi 25,000 kwa mwezi. Lakini fedha hiyo ni kwa ajili ya mitihani...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Akizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Wanabodi, Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS. Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Wahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
10 Reactions
17 Replies
656 Views
=== Akiongea katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana Kafulila aliwapongeza wafanyakazi kwa mafanikio makubwa ya kuifanya ajenda ya PPP...
9 Reactions
44 Replies
915 Views
Ndugu zangu watanzania, Kitendo Cha ripoti ya CAG kuonyesha ufujaji wa mabillioni ya pesa zao katika baadhi ya maeneo kimewaumiza Sana watanzania,kimewatoa machozi ,kimewapiga ganzi mioyo...
12 Reactions
110 Replies
4K Views
Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri. vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na...
12 Reactions
18 Replies
277 Views
Ndugu zangu Watanzania, Japo ni ukweli Mchungu Lakini ni lazima Tukubali Ukweli kuwa yale hayakuwa maandamano ya Amani wala hayakupangwa kuwa maandamano ya Amani wala wapangaji na waandamanaji...
4 Reactions
61 Replies
763 Views
Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa Jeshi la Polisi limefanikiwa kumfungua pingu msaidizi wa Tundu Lissu, aitwae David Djumbe...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
28 May 2026 Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026 UDSM Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk...
3 Reactions
14 Replies
284 Views
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia! Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu...
33 Reactions
86 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4...
5 Reactions
30 Replies
701 Views
Ukiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea Wanao sababisha viashiria hivyo kumea...
8 Reactions
11 Replies
332 Views
guest-1787677352
Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu...
3 Reactions
8 Replies
373 Views
Katika mwendelezo wa hotuba yake akiwa Iringa leo, Mei 23, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amezungumzia kuhusu wimbi la taarifa za utekaji zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, akizitaja kuwa...
6 Reactions
17 Replies
431 Views
Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga... CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
6 Reactions
7 Replies
224 Views
Nasikia kwamba Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa akiwa nyumbani kwake maeneo ya Bunju amerejea akiwa na pingu. Je, nani walikuwa wamemkamata ? Amefikaje nyumbani akiwa na Pingu? Pia...
3 Reactions
27 Replies
741 Views
Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa. Viongozi wa dini wapo...
9 Reactions
25 Replies
382 Views
Back
Top Bottom