PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Oktoba 29 ilitushtua zaidi CCM, Tulipata mshangao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,821
Reaction score
2,735
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro akifanya mahojiano na Crown Media ameeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalishtua CCM

"Tutakumbuka kwamba tarehe 29 Oktoba ni tukio ambalo lilitushtua wengi, na sisi wana CCM tulishtuka zaidi. Halijawahi kutokea katika taifa letu na kwa hiyo tulipata mshangao, kulikuwa na kuduwaa, na kulikuwa na kutafuta muda wa kulitafakari kwa kina nini kimetupata sisi Tanzania baada ya miaka mingi ya kuwa nchi yenye utulivu, amani na mshikamano. Kwa hiyo lilichukua muda na tulihitaji kulitafakari hotuba ile ya Mheshimiwa Jaji Chande, ambayo ilitokana na kazi waliyoifanya yeye na wajumbe wenzake. Kwa hiyo ilichukua muda."

Asha Rose Migiro asiendelee kushangaa tu, CCM tunayoifahamu imekuwa chama cha kudhulumu haki za wananchi.
CCM haijalaani mauaji ya Okt29, mpaka sasa wako kimya.
Na anajua kilichotokea ni kufutika haki za wazi za wananchi.

Asha Rose amesoma Development Studies UDSM miaka ya mwisho ya 1980s, anajua Mao Tse Tung alisemaje wakati wa Cultural Revolution, alisema kama Makao Makuu yana matatizo-BOMBARD THE HEADQUARTERS!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho kwani haikuwahi tokea
 
Mnaua watu then mnashangaa wenyewe what a fool
 
Back
Top Bottom