Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia...
Sio kwa hawa tu waliokamatwa bali hiki kizazi hata kwenye vyuo vikuu vyote kwa sasa hivi wanatumia Ai kwa kila kitu. Iwe assignment na hata mitihani.
Soma Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia...
Mmoja wa wananchi waliopata kuongea mbele ya Waziri Mkuu, leo Julai 04, 2026, katika kijiji cha Suguti-Musoma Vijijini, ameeleza kuwa Mwenyekiti wao hakuchaguliwa kwa kura na kuomba serikali ya...
Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo...
Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na...
Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi.
Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao...
Anachosema Mbunge Sigrada kwa maneno
"Serikali isemeje? Inapambana kuhakikisha wananchi tunaendelea kuwa masikini. Ni political strategy tunaita, yaani mkakati wa kisiasa wa wewe kuendelea kuwa...
Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani (NECTA) hajaiangusha serikali ya CCM. Hajabutua kapiga mulemule kama walivyofanya Tume Huru ya Uchaguzi ( INEC). Tunasubiri wapigaji wa penati 3 zijazo nao...
Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi...
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.