figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,614
- 62,405
Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara.
Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne.
Tulitafuta Rais tukampata Samia..
Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman
Note: Hii ni Propaanda