Kesi ya Mgawanyo wa mali ya CHADEMA rasmi IMEFUTWA

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
164
Reaction score
688
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, iliyokuwa inahusu usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar

Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo

Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.

Yaan ile ilikuwa kesi ya mchongo na ya kubuma tu kufanya kama wanataka kukomoa
 
Mahakama ni wapumbavu sana na jaji mwanga wao
 
Imebaki kesi ya Lissu, nayo ifutwe rasmi sasa.
 
Back
Top Bottom