DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,279
- 7,699
Katika uamuzi wake uliotolewa muda mfupi uliopita Mahakamani hapo kupitia kwa Jaji D. Ngunyale imeeleza kuwa wadai (waliofungua kesi) hawakuonesha -kifungu chochote kwenye hati y madai kinachoonesha kwamba uvunjifu huo (unaolalamikiwa na wadai) ulianza lini, jambo lililopelekea Mahakama kushindwa kujiridhisha kama ina mamlaka au la ya kuendelea kusikiliza kesi hiyo
Jaji Ngunyale amesema hati ya madai ilikuwa ina mapungufu makubwa, hivyo pingamizi lililowekwa na CHADEMA lina msingi.
NB: Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na maamuzi hayo ya Mahakama
Pia soma>>John Heche: Kesi ya Mgawanyo wa mali za Chama iliratibiwa na Sisty Nyahoza na Salehe Bohora aliyetumwa na Rais Samia
