Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumfungua pingu msaidizi wa Tundu Lissu, aitwae David Djumbe, aliyekuwa ametekwa na baadae kufanikiwa kutoroka.
Picha zinaonyesha namna ambavyo pingu zilikuwa zimembana Djumbe kisiasi cha kusababisha mikono yake kuanza kuvimba
Pia soma:Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha