passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,790
- 13,024
Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'