Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Hivi kweli kama CHADEMA ni chama chenye nia nzuri na wananchi kinaweza kuratibu maandamano miji tofauti kwani ujumbe uliofikishwa pale Dar haukufika sehemu zngine za nchi haukufika. Waache...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Kwa namna demokrasia inavyokandamizwa dhahiri Kabisa pale ACT Wazalendo ni Wazi katika Vyama Vyote vya Siasa nchini Chadema Ndio ina Mfumo wa kidemokrasia kwenye chaguzi za Viongozi wake Chadema...
7 Reactions
11 Replies
749 Views
Kiongozi wa Israeli ajulikanae kama Bibi au Netanyahu ameapa kuwa wapalestina chini ya Hamasi hawatakuwa na nchi na watabaki chini ya utawala wa kiyaudi milele. Na Zanzibar nayo ndio hivyo...
2 Reactions
12 Replies
833 Views
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Tufunge tu Mjadala kwa kusema kwenye Siasa hakuna Rafiki wala Adui wa kudumu kama alivyosema Mbowe Wakati akimtambulisha Dr Slaa pale Mwanza Ila kuna ule Urafiki wa kitaa au mtaani kiukweli JK...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa...
16 Reactions
89 Replies
5K Views
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola...
2 Reactions
3 Replies
640 Views
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata...
24 Reactions
121 Replies
7K Views
Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema. Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
19 February 2024 STRATEGIC MEETING FOR STRENGHTHENING BILATERAL COOPERATION BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT IN THE TRANSPORT SECTOR...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…