Ukiangalia kwa makini Chadema Ndio ina Mfumo wa Kuchagua Viongozi wake kidemokrasia kuliko Vyama Vyote vya Siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,829
150,698
Kwa namna demokrasia inavyokandamizwa dhahiri Kabisa pale ACT Wazalendo ni Wazi katika Vyama Vyote vya Siasa nchini Chadema Ndio ina Mfumo wa kidemokrasia kwenye chaguzi za Viongozi wake

Chadema hushindanisha Wagombea lakini hapa ACT Wazalendo unaona Kabisa mmiliki wa Chama aliyeng'atuka anatimiza mbinu za Nyerere kuweka Viongozi wake Ili yeye asiachie remote control

Bado tuna safari ndefu
 
Mwenyekiti wa Chadema huwa anachaguliwa kila baada ya muda gani?
 
Kwa namna demokrasia inavyokandamizwa dhahiri Kabisa pale ACT Wazalendo ni Wazi katika Vyama Vyote vya Siasa nchini Chadema Ndio ina Mfumo wa kidemokrasia kwenye chaguzi za Viongozi wake

Chadema hushindanisha Wagombea lakini hapa ACT Wazalendo unaona Kabisa mmiliki wa Chama aliyeng'atuka anatimiza mbinu za Nyerere kuweka Viongozi wake Ili yeye asiachie remote control

Bado tuna safari ndefu
Sure
 
Ndio maana ya Chama cha Demokrasia na maendeleo
 
Kwa namna demokrasia inavyokandamizwa dhahiri Kabisa pale ACT Wazalendo ni Wazi katika Vyama Vyote vya Siasa nchini Chadema Ndio ina Mfumo wa kidemokrasia kwenye chaguzi za Viongozi wake

Chadema hushindanisha Wagombea lakini hapa ACT Wazalendo unaona Kabisa mmiliki wa Chama aliyeng'atuka anatimiza mbinu za Nyerere kuweka Viongozi wake Ili yeye asiachie remote control

Bado tuna safari ndefu
Wale wahuni wengine wao ni Fomu Moja tu... Kinyume na katiba yao.
 
Back
Top Bottom