Wabongo hatari Sana Wakiambiwa Waandamane na Chadema hawataki lakini Wao Ndio wa kwanza kuhoji Matumizi ya Ruzuku!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Kichwa cha thread kinajieleza kiutoshelevu kabisa

Wabongo ni Watata, Wabishi, Wajuaji, Hawaambiliki nk...nk

Ruzuku ni ya Chama cha Siasa wewe Bwashee Retired Huko Msambweni Tanga Unawashwawashwa na nini?! 🐼

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana 😂
 
Tunataka maandamano kama yale ya kule Kenya au yale ya Malema kule Afrika kusini
Siyo aya matembezi ambayo hayana tofauti na matembezi ya meimosi.
 
Yale yale ya wabongo, wewe hujitokezi lkn unataka yawe kama ya Kenya unatumia akili zipi.
Maandamano gani tunaandamana na polisisiem
Maandamano inatakiwa polisisiem Watesi wetu wakae kule na mabomu na bunduki na sisi wananchi tukae huku tukiandamana watupige mabomu na risasi kama walivyo mpiga Akwiline.
 
Huna akili wewe izo ruzuku bila watu kumpigia kura mgombea wa urais 2020 ingepatikana kwanini isiwe CHAUMA na iwe CHADEMA si watu waliipigia kura CHADEMA mimi binafsi napenda uwajibikaji kwa kila mtanzania mwanzo walizikataa walitangaza na sasa walivozipokea wangetangaza pia kwa sababu ni jambo la wananchi.
 
Kichwa cha thread kinajieleza kiutoshelevu kabisa

Wabongo ni Watata, Wabishi, Wajuaji, Hawaambiliki nk...nk

Ruzuku ni ya Chama cha Siasa wewe Bwashee Retired Huko Msambweni Tanga Unawashwawashwa na nini?! 🐼

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana 😂
CCM inapokea 3B kila mwezi kama ruzuku lakini hakuna anayehoji lakini sasa 120M ya CHADEMA watu ina wauma vibaya sn
 
Kichwa cha thread kinajieleza kiutoshelevu kabisa

Wabongo ni Watata, Wabishi, Wajuaji, Hawaambiliki nk...nk

Ruzuku ni ya Chama cha Siasa wewe Bwashee Retired Huko Msambweni Tanga Unawashwawashwa na nini?!

Mungu wa Mbinguni awabariki Sana
Chama cha siasa kwani hakiwahusu wananchi.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wa leo siyo wa Jana wanafahamu thamani ya muda wao, ukizingatia walishaandamana sana huko kitambo bila kuona manufaa yoyote, mtanzania wa leo anaufahamu mkubwa mno siyo rahisi kumburuza au kumswaga, although wapo kwa hiyari yao huwa tayari kuswagwa.
 
CCM inapokea 3B kila mwezi kama ruzuku lakini hakuna anayehoji lakini sasa 120M ya CHADEMA watu ina wauma vibaya sn
CCM, tunaona matumizi sahihi ya fedha hizo, kumuondolea mtu wa chini kabisa kero zake zote kwa ujumla wake, lakini kwa chadema hatuoni kile cha kumuondolea mtanzania shida zake aidha kumuelimisha, infact no effects on cash given zaidi ya kugawana na kula.
 
We ni mjinga sn, nionyeshe barabara/kisima/kituo cha afya/darasa/daraja n.k lilijengwa kwa ruzuku ya CCM
 
Watanzania wa leo siyo wa Jana wanafahamu thamani ya muda wao, ukizingatia walishaandamana sana huko kitambo bila kuona manufaa yoyote, mtanzania wa leo anaufahamu mkubwa mno siyo rahisi kumburuza au kumswaga, although wapo kwa hiyari yao huwa tayari kuswagwa.
Kwani waliondamana juzi hawakuwa watanzania au ulitaka mpk aandamane mumeo ndiyo ujue maandamano yamefanikiwa?
 
Tunataka maandamano kama yale ya kule Kenya au yale ya Malema kule Afrika kusini
Siyo aya matembezi ambayo hayana tofauti na matembezi ya meimosi.
Yakiitishwa kama yale ya Malema utaenda?
 
Back
Top Bottom