Kongole Spika Dkt. Tulia kwenye Sheria umeiva

Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria naangalia hapa bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.
Mbeya tunasema Tulia mitano tena
Sasa ndio umesema nini? Umeandika ulichoona wewe bila kutuambia umeona nini, unapoteza tu space za JF. Kama walengwa wako ni hao walioona kama wewe, kuna haja gani ya kupost? Kaongeze elimu.
 
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria naangalia hapa bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.
Mbeya tunasema Tulia mitano tena
Msifuni ila hiyo kamati ita kayo undwa ina kuwa bias kwa Ccm
 
Uki fuatilia mwenendo wa mjadala bungeni muda huu, pasi na shaka Jenister ndie anae haribu huu mwenendo.
Huyu mama ni chawa tena chawa kweli kweli.
Tukimuendekeza ata liingiza Taifa kwenye magomvi yasiyo kwisha.
Hata maridhiano ya Ccm na Chadema ina onyesha hhyu mama ndie kawaongoza vibaya maCcm wenzake..
Nashauri maandamano yafuatayo ya Chadema yapelekwe Songea.
Wakitoka Mbeya kabla ya majiji mengine wakampige huyu mama pale Songea
 
Uki fuatilia mwenendo wa mjadala bungeni muda huu, pasi na shaka Jenister ndie anae haribu huu mwenendo.
Huyu mama ni chawa tena chawa kweli kweli.
Tukimuendekeza ata liingiza Taifa kwenye magomvi yasiyo kwisha.
Hata maridhiano ya Ccm na Chadema ina onyesha hhyu mama ndie kawaongoza vibaya maCcm wenzake..
Nashauri maandamano yafuatayo ya Chadema yaoelekwe Songea.
Wakitoka Mbeya kabla ya majiji mengine wakampige huyu mama oale Songea
Ukimlaumu Jennista Mhagama unamwonea. Ni Tanzania tu mtu kama huyo anaweza kuwa kiongozi wa kitaifa. Halafu mtu anatapata Phd kwa kufanya utafiti wa kwa nini Tanzania tupo hapa tulipo kimaendeleo!!
 
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.

Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Najua izo utaachwa hewani.
Kimsingi hauna contents za kuufanya uelee hewani hadi sasa.
 
Kuna gwiji zaidi ya mtaalamu Tulia
Nakumbuka Kuna siku niliangalia bunge miaka kidogo imepita alikuwepo Tundu lissu ,Tulia ,Paramagamba na Mwakyembe siku hiyo Ngoma ilikuwa Tamu sana Sheria zilichapwa wabunge walikuwa wakipiga makofi..
Mwakyembe na Paramagamba wako vizuri sana na Tulia ni Mwalimu yuko poa Na Lissu naye yuko vizuri..
Hiyo ndo.Miamba ya Sheria Tanzania
 
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.

Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Kama sio darasa la saba kama mimi ,basi wewe ni F4F.
Endelea kuupambania ukundwe.
 
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.

Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Kwa Mbeya hatoboi!
 
Unasifiaje kitu usichokijua?
 
Nakumbuka Kuna siku niliangalia bunge miaka kidogo imepita alikuwepo Tundu lissu ,Tulia ,Paramagamba na Mwakyembe siku hiyo Ngoma ilikuwa Tamu sana Sheria zilichapwa wabunge walikuwa wakipiga makofi..
Mwakyembe na Paramagamba wako vizuri sana na Tulia ni Mwalimu yuko poa Na Lissu naye yuko vizuri..
Hiyo ndo.Miamba ya Sheria Tanzania
Sure sure mkuu hakika mtu Kama mbobezi Paramagamba ni hatari sana
 
Back
Top Bottom