Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi.
Shule hazina Waalimu, hazina...
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU
Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena?
Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa...
Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ??
SHERIA YA VYAMA VYA SIASA
(SURA YA 258)
-------------
KANUNI
(Zimetungwa chini ya fungu la 22(b))
KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA...
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU...
Wasaalam
Makampuni ya simu yamekuwa yakituma ujumbe wa kuhimiza wananchi "kudumisha amani." Kwa mtazamo wangu, ujumbe huo unaweza kuwa na nia njema. Hata hivyo, unaibua swali muhimu: je, amani...
Ila hivi vyombo vya habari bhana kuna muda wanatumika mchana kweupe!
Yani kuisoma hii habari ilio chapishwa na AFM na C FM zote ni za Dodoma unaona ni propaganda kabisa
Kuna mtu mmoja kawapa...
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.
Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo...
Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri.
Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama...
Uchaguzi uliisha Oktoba 2025, waliopiga kura wanatosha, na waliosusa kwa NRE shauri yao. Samia yupo hadi 2030, hamna kitu mtafanya nje ya Katiba.
Wanaharakati wa CHADEMA wanahangaika sana. Kuna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko...
Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na...
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani...
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na...
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini...
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia...
Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.