Mbinu za Matume ya Rojo zimeshindikana. Tume kibao halafu zikija zinawekwa kwanye makabati!.
Pesa za watanzania zinatumika kutengeneza tume fake za rojo kusafisha wauaji, watekaji na wala rushwa wakubwa.
Mbinu hizi hazitafanikiwa. Tupinge hizi tume ambazo hata ripoti zake hatuzioni.