figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,471
- 61,789
Mapokezi ya John Heche Tarime. Hata hili eti CCM linawauma. Ukiwa CCM roho mbaya ndo Silaha
Huyo zubezube-mpunyenye hataki kupewa darsa? Ndiyo maana kazeeka na ubumbaff wake.
Acha CCM wavimbe wapasuke!Mapokezi ya John Heche Tarime. Hata hili eti CCM linawauma. Ukiwa CCM roho mbaya ndo Silaha
View attachment 3644460
Heche atayaua mabwabwa ya ccm Kwa pressure.Mapokezi ya John Heche Tarime. Hata hili eti CCM linawauma. Ukiwa CCM roho mbaya ndo Silaha
View attachment 3644460