Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,724
- 165,120
Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Kama alikua anaishi kwa kujificha aliyetoa taarifa hiyo kuwa haonekani ndio awe wa kwanza kuulizwa yupo wapiMwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
ok.🐒Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Ina maana watekaji wametanua mbawa au wamekunja roho ya korosho?Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Alikuwa nchi ganiYule alikuwa mweu, afu alikuwa anajiachia kwenye ma club, elimu hana, ilikuwa rahisi kumdaka
Japan na kwenye uzi nimeeleza piaAlikuwa nchi gani
Sasa Japan ni nchi ya kujificha mwanaharakati?Japan na kwenye uzi nimeeleza pia