Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wananchi wa Tanzania hawahitaji vurugu wala mivutano ya kisiasa isiyoisha, bali wanahitaji amani, usalama na utulivu...
BALOZI YAKUBU: USHIRIKI WA MATAIFA 16 WAONESHA KUKUA KWA HADHI YA KISWAHILI DUNIANI
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Daudi Yakubu, amesema ushiriki wa mataifa 16 katika...
Kesho Ijumaa tarehe 10/7 saa tano asubuhi Katibu Mkuu wa Chadema Mhe John Mnyika atazungumza na Watanzania kupitia vyomba vya habari Makao Makuu ya chama Mikocheni.
Wote mnakaribishwa.
Wakili Jebra Kambole amesema kuwa wanaharakati waache kuhukumiwa kwa namna wanavyotumia lugha kuwasilisha maoni yao, kwani watu tunatofautiniana namna tulivyolelewa, kuzwa na maeneo tulioishi...
Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza leo Julai 09, 2026 amehoji kuwa Mwalimu JK Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati au si wanaharakati.
"Naomba niwaulize kwa...
Tangu yalipotokea machafuko ya Oktoba 29, 2025, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesikika mara kadhaa akiwalaumu wanaharakati hasa wanaoishi nje ya nchi, akidai kuwa wao ndio waliochochea na wanafanya...
08 July 2026
Mahakama Kuu Gauteng
Johannesburg,
Republic of South Africa
African Rainbow Capital yashinda uamuzi wa mahakama kuhusu uchimbaji madini wa Tanzania dhidi ya Washirika wa Pula...
Alipoingia madarakani alijipambanua kwamba yeye ni bingwa wa kuunganisha watu na kutibu maumivu yao, kumbe alikuwa hajausoma vizuri mchezo alidhani ni kazi rahisi kama kuongoza familia. Alisahau...
Balozi Kombo azungumza na Watumishi Ubalozi wa Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na watumishi wa Ubalozi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta...
Kwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .
CHADEMA sio...
Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa.
Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika...
Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa...
Nafanya utafiti mdogo, naomba kufahamishwa kwa ushahidi mtoto yeyote wa Kiongozi wa Juu wa Kisiasa hapa Tanzania ambaye mwanaye ni Askari Polisi. Vilvile Ni Mfanyabiashara gani mkubwa hapa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, amesema Serikali tayari imeshalipa fedha zote za...
Kama dangote ameamua kwenda kujenga crude oil refinery lamu ni sawa kama nchi hatujashindwa bado tutafute mwekezaji mwingine wa kujenga crude oil refinery Tanga hatujashindwa bado
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.