hivi ni yule mwenye domo kubwaaaah right?🐒Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Ili atibiweSerikali ya hovyo inakamata Hadi wagonjwa wa akili
Umesoma kwa maria sarung huko X unajifanya unajua sana kutuletea huku.Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Ila alishaombaga msamahaKajaa kwenye mfumo!!
huyo jamaa ni kilazaUmesoma kwa maria sarung huko X unajifanya unajua sana kutuletea huku.
Huwezi kutukana Halafu baadaye uombe msamaha. Inatakiwa AMinyweIla alishaombaga msamaha
Huyo anapaswa Kufundishwa adabu Hadi ailaani siku Aliyozaliwahivi ni yule mwenye domo kubwaaaah right?🐒
serikali inajali raia wake!Ili atibiwe
Saizi ndio Amekuwa Mgonjwa wa Akili? Acha afundishwe adabu maana hapaswi kuwepoSerikali ya hovyo inakamata Hadi wagonjwa wa akili
Ili wasilete taharuki Kwa wagonjwa wengineSerikali ya hovyo inakamata Hadi wagonjwa wa akili