MIJI ILIYODUMAA TANZANIA

MIJI ILIYODUMAA TANZANIA

Mindset100

Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
25
Reaction score
71
Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.

1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita

2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.

3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.

4. Kigoma ujiji

Ilipiga hatua tangu enzi ya mwarabu akaja mjerumani ikawa bado juu leo ilivyo huwezi amini yamebaki magofu mengiiiii.

5. Kilwa

Hii ilikuwa ni DSM ya Tanganyika kwa wakati huo na ndiyo mji wa kwanza bara kuwa na hela yao, leo kilwa iko palepale haisongi, nenda uliza tatizo nini? Imebaki historia nzuri ya kupendeza lakini yamebaki magofu yenye kusimuliwa vizuri kuliko Kilwa ya sasa.

6.Ongezea
 
Kisarawe
 
Bukoba,
Wahaya wabishi na ujuaji mwingi na pesa hawana, bora waangaza wanapambana na maendeleo wanao siku hizi,
 
Hapo Kigoma Kuna nini,wenyeji ni wapiga KAZI?
 
Back
Top Bottom