Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

•Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema. •Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema "Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na...
26 Reactions
132 Replies
11K Views
Hawa wabunge wanawasemea wananchi gani huko bungeni? Au wana taifa lao siyo hili la Tanzania? IQ ya wabunge hawa ipoje,kuna vitu ni vipaombele kwa sasa vinaumiza wananchi. Unazungumzia vazi la...
8 Reactions
16 Replies
827 Views
Mhe. Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa habari leo hii amesema, "Maandamano ya amani Jijini Mwanza yatafanyika tarehe 15 Februari 2024 badala ya tarehe 13 Februari 2024" CHADEMA...
1 Reactions
4 Replies
921 Views
Mwanahabari maarufu Gerald Hando naye anamshangaa Makonda kushangaa utekaji. Ni nini watu hawa wawili wanachoshangaa?
14 Reactions
118 Replies
7K Views
Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana ! Kailoga bila huruma kabisa !
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa mwenye akili, ni dharau kubwa mtu akakuita akasema anataka kuusikia ushauri wako, kumbe mtu huyo alikwishafanya maamuzi yake tayari. Kwa hiyo ushauri wako kwake inakuwa ni kukupotezea muda kwa...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Mbunge wa Nachingwea CCM Waziri wa ulinzi serikali awamu ya Rais Mkapa Anamilki silaha AK 47 Ana mashamba ya korosho kama dunia yuko wapi?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hawa wote wameongoza taasisi ambazo malalamiko hayakomi dhidi ya Taasisi hizo. Badru amwewahi kulalamikiwa sana kuhusu utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Huyu amekuwa akilindwa sana...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Naibu waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Ashatu Kijaji alifanya ziara kutembelea baadhi ya Viwanda vya sukari na alitembelea kiwanda kilichopo mkoani Manyara ambapo alikuta kimesitisha uzalishaji...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga. Wabunge na mawaziri...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa. Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
UKIPEWA MADARAKA FANYA KAZI, LETA UBUNIFU, TATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI, ACHA KUWASAGIA KUNGUNI VIONGOZI WENZAKO Na Comrade Ally Maftah Nitakuwa wa kwanza kuumgana na Ndugu Paul Makonda ( Katibu...
2 Reactions
7 Replies
796 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi , uenezi na mafunzo wa CCM Taifa siku ya jana akihutubia ma elfu kwa Malaki ya wananchi mkoani katavi amewajibu kwa...
13 Reactions
136 Replies
8K Views
Nimemsikiliza vizuri Katibu mwenezi wetu wa CCM. Comred Paul Makonda akiwajibu washambulizi wake kuwa usomi wao usitumike kututesa bali utusaidie kutatua changamoto zetu za kila siku. Kauli hii...
2 Reactions
8 Replies
609 Views
Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana. Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule...
28 Reactions
79 Replies
6K Views
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio . Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia. watangazaji...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar...
20 Reactions
165 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…