Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,216
Reaction score
859,606
Ndio hivyo tena, tumeikosa.

Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda kama hicho kule nchini Nigeria.

Sakata hili la 'Dangote refinery' katika ukanda wa Afrika Mashariki limeonesha matobo yaliyopo katika 'System' za utawala wa Tanzani, hasa katika idara za Usalama, madawati yanayoshughulikia siasa za kikanda, mipango mikakati na usalama wa kiuchumi (economic security) na maendeleo ya taifa kwa ujumla. TUMEZINGUA.

Baada ya Kampuni ya Dangote kutangaza ujenzi wa refinery huko Lamu, tumeshuhudia 'jitihada za zima moto' za kumshawishi Dangote abadili mawazo;

Kwanza tumeona Dangote akialikwa Ikulu ya Dar es Salaam na kupewa eneo Bagamoyo kwa ajili ya uwekezaji.
Pili tumeona tukio la kusaini hati ya Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Uganda kuufanya mji wa Tanga kuwa kituo kikuu cha Nishati.

Tatu, wakati tukio hilo likiendelea Waziri wa Sera Mipamgo na Uwekezaji alikuwa Nigeria kukutana na Dangote. (Pengine kumshawishi abadili mawazo). Tuliona Waziri akibena zawadi ya 'kumtongoza' bilionea Dangote. Mbinu za kale!

Hayo mambo matatu yalitakiwa kufanyika punde tu Rais Ruto alipotangaza ujenzi wa refinery hiyo mjini Tanga. Lakini badala yake, watu wasio na uwezo waliopo madarakani, sio tu hawakujua lakufanya bali walifanya 'blunder' la kumzodoa Ruto kwa kauli zake. Ni 'Blunder' la mwaka.

Ruto aliitangaza Tanga kana kwamba ni utashi wa pamoja wa mataifa ya Afrika Mashariki yaliokwisha amua! Isingekuwa Rais kwa Kampuni ya Damgote kufikiria tofauti na maamuzi ya mataufa 6.

Baada ya kauli ya Ruto, ndipo tukio la kuitangaza Tanga kama Energy Hub lilipaswa kufanyika na zaidi kwenye bajeti ya mwaka 2026/27 liwepo. Hili lingehusisha Tanzania, Kenya, Rwanda, DRC, Uganda na wengine badala ya Tanzania na Uganda pekee. Ukisoma bajeti ya Wizara ya Nishati, hakuna mpamgo wa hiyo Energy Hub kwa Tanga, badala yake kuna mpango wa Energy Hub wa Dar es Salaam. Maana yake huo mpango ni mpya kabisa, na pengine lengo ni kumshawishi Dangote, lakini ni 'Too late'.

Jambo lingine ambalo lilipswa kufanyika ni Serikali ya Tanzania kutangaza kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya mradi huo wa refinery mjini Tanga.

Mbali na hapo, tungeweza kupenyeza ajenda hiyo kwenye vyombo vya habari vya kikanda na kimataifa.

Lengo la yote hayo ni kuinyima Kampuni ya Dangote muda wa kufikiria nje ya Tanga.

Lakini wapi?
Badala ya kuketi na kuumiza vichwa namna ya kutumia fursa, tukaruhusu akili za taarab zifanye kazi. Akili za Kuzodoa, kusuta na lugha za mafumbo zikachukua nafasi ya Akili ya kupanga mikakati ya kiuchumi kwenye mazingira ya siasa za kijiografia.

Aibu kwa wanojiita wanamikakati.

Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.
1786382742708.jpg
1786382734077.jpg
 
Halafu cha kuchekesha, ukiangalia bajeti yetu ya nishati, hakuna hata dalili ya hiyo Tanga Energy Hub hadi walipochelewa kushtuka. Ni too little, too late. Unasubiri Dangote atangaze Lamu ndio unakimbilia kusaini MoU na Uganda kama unafanya dharura ya msiba.
 
Ndio hivyo tena, tumeikosa.

Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda kama hicho kule nchini Nigeria.

Sakata hili la 'Dangote refinery' katika ukanda wa Afrika Mashariki limeonesha matobo yaliyopo katika 'System' za utawala wa Tanzani, hasa katika idara za Usalama, madawati yanayoshughulikia siasa za kikanda, mipango mikakati na usalama wa kiuchumi (economic security) na maendeleo ya taifa kwa ujumla. TUMEZINGUA.

Baada ya Kampuni ya Dangote kutangaza ujenzi wa refinery huko Lamu, tumeshuhudia 'jitihada za zima moto' za kumshawishi Dangote abadili mawazo;

Kwanza tumeona Dangote akialikwa Ikulu ya Dar es Salaam na kupewa eneo Bagamoyo kwa ajili ya uwekezaji.
Pili tumeona tukio la kusaini hati ya Makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na Uganda kuufanya mji wa Tanga kuwa kituo kikuu cha Nishati.

Tatu, wakati tukio hilo likiendelea Waziri wa Sera Mipamgo na Uwekezaji alikuwa Nigeria kukutana na Dangote. (Pengine kumshawishi abadili mawazo). Tuliona Waziri akibena zawadi ya 'kumtongoza' bilionea Dangote. Mbinu za kale!

Hayo mambo matatu yalitakiwa kufanyika punde tu Rais Ruto alipotangaza ujenzi wa refinery hiyo mjini Tanga. Lakini badala yake, watu wasio na uwezo waliopo madarakani, sio tu hawakujua lakufanya bali walifanya 'blunder' la kumzodoa Ruto kwa kauli zake. Ni 'Blunder' la mwaka.

Ruto aliitangaza Tanga kana kwamba ni utashi wa pamoja wa mataifa ya Afrika Mashariki yaliokwisha amua! Isingekuwa Rais kwa Kampuni ya Damgote kufikiria tofauti na maamuzi ya mataufa 6.

Baada ya kauli ya Ruto, ndipo tukio la kuitangaza Tanga kama Energy Hub lilipaswa kufanyika na zaidi kwenye bajeti ya mwaka 2026/27 liwepo. Hili lingehusisha Tanzania, Kenya, Rwanda, DRC, Uganda na wengine badala ya Tanzania na Uganda pekee. Ukisoma bajeti ya Wizara ya Nishati, hakuna mpamgo wa hiyo Energy Hub kwa Tanga, badala yake kuna mpango wa Energy Hub wa Dar es Salaam. Maana yake huo mpango ni mpya kabisa, na pengine lengo ni kumshawishi Dangote, lakini ni 'Too late'.

Jambo lingine ambalo lilipswa kufanyika ni Serikali ya Tanzania kutangaza kutenga kiasi cha fedha kwa ajili ya mradi huo wa refinery mjini Tanga.

Mbali na hapo, tungeweza kupenyeza ajenda hiyo kwenye vyombo vya habari vya kikanda na kimataifa.

Lengo la yote hayo ni kuinyima Kampuni ya Dangote muda wa kufikiria nje ya Tanga.

Lakini wapi?
Badala ya kuketi na kuumiza vichwa namna ya kutumia fursa, tukaruhusu akili za taarab zifanye kazi. Akili za Kuzodoa, kusuta na lugha za mafumbo zikachukua nafasi ya Akili ya kupanga mikakati ya kiuchumi kwenye mazingira ya siasa za kijiografia.

Aibu kwa wanojiita wanamikakati.

Nawasilisha!
Dr. Chris Cyrilo.View attachment 3647818View attachment 3647819
Mazuzu yalijitwalia uongozi pasina sisi watanzania kutaka yapo yapo Kama yapo hayajui chochote zaidi ya kukwiba Kodi zetu walala hoi shenzy CCM na machawa yote ya kizimkazi
 
Tunaongozwa na nyumbu
 
Serikali haramu imekuwa ikiishi kwa ulaghai, utapeli na uongo huku ikiwadanganya wananchi.

Safari hii wamekurupuka na andawea kichwani.....
 
Wewe na sisi tunahuzunika kukosa ajira, mzunguko wa pesa na huenda nafuu ya bei ya mafuta.

Wenye vipampu na vituo vya mafuta wanafanya sherehe, na kugonga glass.

Hata hivyo lini wamekuambia, wana utashi na nia ya kutuvusha !!!!!!

Inteligensia iliyopo inajulikana, utasikia , tumewakamata wakiwa na nia ovu, wakiwa na malengo ya kuvuruga amani, wakipanga kung'oa nguzo za umeme Tanzania nzima, wakipanga kuvamia vituo vya polisi Nchi nzima na madudu mengine.
 
Hiyo angetoa bila shida.. Walitaka 30% na hisa juu
Nakubaliana nawe 100%
wanasiasa wa bongo siku zote hulazimisha wapewe hisa ili watumbukize cash yao wanayopiga serikalini...
Mradi wa magari ya Volkswagen umeenda Rwanda baada ya wanasiasa bongo kutaka kutimiziwa mambo yao...
Sishangai Dangote kukimbilia Mombasa
 
Rushwa mwanzo mwisho halafu sio wa kuamini uongozi ukibadilika mambo yanabadilika ndo maana leo hii watu wakiongea kuhusu katiba mpya kina Riz wanageuka mbogo maana wanaamishwa nao siku yaja wanatakuwa pale juu kulinda uozo wao
 
..Dangote aache ujinga.

..Lamu hakuna bomba la mafuta.
Dangote hajawa tajiri kwa kuendekeza ujinga. Kenya wanatarajia kuanza kuvuna mafuta yao mwishoni mwa mwaka huu kutoka South Lokichar Basin, Turkana. Aidha, South Sudan ni mzalishaji mkubwa wa mafuta. Sasa hivi wanasafirisha mafuta hayo kupitia Sudan ambayo imegubikwa na vita. Alternative ya kuaminika kwao ni kuyasafirisha kupitia Kenya. Kwa hiyo refinery hiyo italishwa na mafuta yao wenyewe na ya kutoka South Sudan. Aidha, mazao yake yatapata soko sio Kenya tu bali mpaka Ethiopia, nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi sana. Na muhimu kuliko yote ni kuwa amewekeza tayari Tanzania na anajua changamoto zetu kwenye biashara. Changamoto kama wana siasa kuingilia utendaji, sheria zisizo eleweka, wizi uliokithiri n.k.). Kwa hali hiyo hauwezi kumlaumu kwa kuona kuwa atafaidika zaidi akiwekeza Kenya kuliko Tanzania.

Badala ya kujaribu kumshawishi tuboreshe mazingira ya kufanya biashara na tuwafunge gavana za spidi wana siasa wetu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom