Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Bank M Tanzania Limited is among bankers appointed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on the authority's behalf.

The service was officially launched by the bank at a function held at a Dar es Salaam hotel recently.

At the launch, the bank promised to remit the tax to the authority and issue payment receipts to customers in only five minutes.

The product, branded Money.Mapato, will enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without delay and without having to wait in long queues at banks.

Speaking to journalists at the launch of 'Money Mapato', Bank M board chairman Nimrod Mkono said the product is designed specifically to process TRA tax payments within five minutes and to remove taxpayers' worries over penalties arising from taxes not being paid on time.

"We bring to you Money. Mapato, with the assurance that payment of taxes will, going forward, be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes," Mkono said.

Technically, within five minutes of your depositing your tax deposit slips at any of our branches, the amount will be credited to the accounts of TRA and you would be able to proceed to completing your transaction with the TRA," he added.

The initiative, according Mkono, marks yet another milestone in Bank M continuing efforts to bring the best in banking at a time of clients' choice and at a place of their convenience.

"With most banks having lengthy queues, the tax payment process has turned to a nightmare forcing several taxpayers to pay taxes days before due date to avoid the penalty. With Money Mapato, you can now rest easy as all it would take to pay your taxes is five minutes," Mkono, who is also Musoma Rural MP said.

The taxes, the bank authorised to collect under Domestic Revenue Department are VAT on local goods, VAT on local services, stamp duty and income taxes. For Customs & Excise Department, are import duty, excise duty on imports, VAT on imports and fuel levy.

The ingredients which make Money Mapato a success product include handling tax transaction from 8am to 8pm Sunday to Sunday with a service standard guarantee to process the payment in five minutes, he said.

The TRA accounts are at Bank M, meaning the funds don't need to go through transfer delays; specially trained tellers for this product only; and installation of Asybank, a TRA Customs payment system.

"We bring to this market products and services with levels of commitment unique to us and accompanied by delivery standards unheard of in the local markets," the bank chairman insisted.

The move by Bank M to introduce this guaranteed service on tax payment, has been warmly welcomed by a number of top listed taxpayers in the country, most of them saying it is likely to be a perfect solution for their current tax payment problems.

Commenting on the service, Jayesh Shah, Sumaria Group Managing Director said his group has been using Bank M services since the inception of the bank and that they are very delighted with the bank's delivery standards.

"One of our group companies has actually used this new service and our experience is that it is really works in five minutes," he said, adding that Bank M has been keeping its promises for giving customers good quality services in a very convenient manner.

Similarly, G. Vedagiri, Managing Director of Alpha Group of Companies said that they are using the service because it is one of the most convenient ways of paying taxes.

"We are currently using this new service offered by Bank M and it is a very efficient service which makes the whole process of paying tax simple and convenient," he said.

For his part, Ketul Patel, Managing Director of BMTL, commended Bank M for its innovative products and improving delivery standards. He also said the bank strives to offer tailor-made services to its customers. Sameer Ismail, Managing Director of Afrisian Group said the service allows businessmen to concentrate on their businesses without worrying on delays on tax payment.

He said that by pegging this service to its Service Standard Guarantee scheme, Bank M has showed its firm commitment in giving its customers premium financial services. Bank M Tanzania Limited (Bank M) is a fully fledged commercial bank regulated by the Bank of Tanzania and it opened it's doors for business in July 2007.


SOURCE: THE GUARDIAN

Na hii:

Bank M Tanzania Limited has been appointed by Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on its behalf. Through a service branded Money. Mapato, the bank has promised to remit the tax to TRA and issue payment receipts to the customers in five minutes.

The product would enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without any delays and without having to wait in long queues at banks. Bank M Board Chairman Mr Nimrod Mkono said the product was designed specifically for processing of TRA tax payments within five minutes and to remove worries of penalties from the minds of taxpayers.

"We bring to you Money. mapato, with the assurance that payment of taxes will be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes," said Mr Mkono.


Source: The Citizen


My Take:

As I read the story I'm baffled.. is this a volunteer service on the part of Bank M or is it a charity work? Wao wanapata nini katika mchakato wa transactions hizi za kodi kati ya wateja na TRA.
 
Speaking to journalists at the launch of 'Money Mapato', Bank M board chairman Nimrod Mkono said the product is designed specifically to process TRA tax payments within five minutes and to remove taxpayers' worries over penalties arising from taxes not being paid on time.
TRA wanawalipa ngapi hawa jamaa kukusanya hayo mapato maana mkono anausika sana kwenye dili ambazo malipo yake
ni kama kukwapua, sio kesho TRA walipuke na kashifa wanalipa biliono 10 kwa siku to BAnk M
nimeipenda lakini ninawasiwasi na wahusika katika hii kitu
 
huyu mkono si ndio yupo hata kwenye HESLIB? ile yenyewe ishamshinda kila siku migomo sasa huku vipi tena? au ndio kupeana mashavu
 
huyu mkono si ndio yupo hata kwenye HESLIB? ile yenyewe ishamshinda kila siku migomo sasa huku vipi tena? au ndio kupeana mashavu

hivi huyu mkono kuna siri gani anayoijua na kuwatishia mpaka wanampa mgao mkubwa hivi wa rasilimali za watanzania, mbaya zaidi hata kwenye magamba hayumo ,Huyu ni kikulacho kinguoni mwako hakuna biashara ya manufaa kwa wananchi anayoweza kufanya Mkono hapa tumeliwa.
 
Hii nchi kila kwenye mapesa kuna mkono wa Mkono, mara lawyer wa BOT, mara Majembe na Sumatra and now Bank M na TRA. Lets wait and see.
 
Wanapata nini Bank M? Hilo ni moja. Lakini swali la msingi zaidi ni hili - Bank M ina matawi mangapi Tanzania Bara na Visiwani? Walipa kodi wanakaa wapi? Hivi kwa nini TRA kama kweli wanataka kurahisisha upatikanaji wa huduma zake wasiteuwe bank ambayo iko sehemu nyingi?

Na nijuavyo mimi Bank M ni Investment Bank. Kwa nini wasiteue NMB, NBC, CRDB, au hata Bank ya Posta ambazo watanzania wengi walipa kodi wana access nazo?

This, may well be another scandal of unbeliavable proportion. Naomba CHADEMA waulize logic behind this nonesense.
 
My Take:

As I read the story I'm baffled.. is this a volunteer service on the part of Bank M or is it a charity work? Wao wanapata nini katika mchakato wa transactions hizi za kodi kati ya wateja na TRA.
Mwanakijiji hapa umepotosha live, ila umetupata kwa sababu hatusomi context yenyewe.
 
Ni ajabu sana. Swali kubwa hapo ni kwani wao TRA wameshindwa kukusanya? Na kama haitosi wale ma broker woa wako wapi?
 
Binafsi sioni tatizo kuwepo kwa hiyo huduma wala sioni Tatizo kwa hiyo huduma kutolewa na Bank M. Inanyesha kuna kichwa kipo Bank M kimeona problem na kimeprovide solution kutumia teknolojia. Kama Benki nyingine hawakuona hili sio Bank M wa kulaumiwa

But kama TRA wamekubali hiyo service just bsc ni Bank M au wadau wakubwa wa hiyi ni vigogo bila kuwa na any business reasoning basi in near future tutasikia kashfa kwa upande wa TRA.
 
JK kazi imemshinda kwa nini asiachie ngazi?

Yaani haiingi akilini kama TRA hawawezi kazi si wafutwe tu. Kuna haja ya kuichukua hii nchi haraka sana, na hii ni preamble tu tumekwisha hata kukusanya kodi wanapeana kama njugu.

Hivi jela zipo za kutosha siku ya siku ikifika, Je ni nani huyu mwenye madaraka ya kuchagua wakusanya kodi? na mimi nataka kuwa mojawapo khe khe khe kheeeeeee
 
Hebu subirini, Nimeona Jina la Nimrod Mkono huyu sio yule Fisadi aliyekupua mabilioni ya Watanzania? amepewa tena tender nyingine ya kuwakusanyia TRA Kodi?

Sasa TRA wanafanyakazi gani ikiwa kitengo kimeshindwa kukusanya kodi? Wafungue vibaraza vya Kahawa hizo offisi zao kama wameshindwa kukusanya kodi
 
Bongo bana...How is it that an MP is also a director of a Bank? Isn't there confilict of interest?

If you ask me that shouldn't be the case. What if a bill comes into debate, for example..restricting how banks charge fees. I dont think it matters whether the MP is in a specific commitee regulating banks or not. Because ultimately the bill will come to the entire house for vote. it is clear from the get go where Nkono's vote will go.

Katiba yetu siyo tu haifai, ni ya kuchanwa na kutupwa.
 
Bora Dr Slaa achukue hii nchi mapema...yaani usanii kama huu haujawahi kutokea kwenye huu ulimwengu ninaoujua. Only in Tanzania.
 
Wanapata nini Bank M hilo ni moja. Lakini swali la msingi zaidi ni hili - Bank M ina matawi mangapi Tanzania Bara na Visiwani? walipa kodi wanakaa wapi? Hivi kwa nini TRA kama kweli wanataka kurahisisha upatikanaji wa huduma zake wasiteuwe bank ambayo iko sehemu nyingi?
Na nijuavyo mimi Bank M ni Investment Bank. Kwa nini wasiteue NMB, NBC, CRDB, au hata Bank ya Posta ambazo watanzania wengi walipa kodi wana access nazo?

This, may well be another scandal of unbeliavable proportion. Naomba CHADEMA waulize logic behind this nonesense.
Mkuu hapo mwanzo umenena vyema sana...ila umekuja kuharibu hapo kwenye maandishi mekundu!

Tukijenga utamaduni wa kusubiri mpaka Chadema waquestion issues muhimu kwa taifa letu, tutakua ni kama kutwanga maji kwenye kinu!

Kama unafahamu na kuzielewa haki zako, wewe kama mtanzania unapaswa kuuliza na kutafuta ukweli wa mambo.

Mkuu husisubiri Chadema wafanye iyo kazi!!! Chadema wamejitahidi sana kuamsha watanzania ili waweze kuelewa haki zao..sasa kama hadi sasa hujaamka..kazi ipo!!!
 
Mnashngaa kitu gani wakati haya ni katika kutimiza - Azimio la Zanzibar?

Kila idara ya serikali ina mawakala wake hadi halamashauiri za miji zote ni ugawaji tender tu, kukusanya fedha za parking ticket na kadhalika yaani hizi ofisi zote za serikali hawana kazi isipokuwa kugawa tender na wenye tender hizo ni viongozi wale wale walioshika dola (serikali)..

Ikiwa kila mtu ataweza kulipa kodi yake Bank M kwa nini isiwe kila mtu anaweza kulipia tax zake toka account ya bank branch yake moja kwa moja kwenda TRA maana ni rahisi kwa kila mtu kwenda tawi lake kulipia kuliko kila mfanyabiashara kutafuta benki zilizochaguliwa.. Kifupi, kila bank iwe na system ambayo itamwezesha mwenye account kulipa bills zake ikiwa ni pamoja na TRA..

Nini faida ya Bank M kupewa nafasi hii:-

Kutokana na uchache wa accounts za watu ktk Mabank, itawalazimu wateja wengi wa bank kuhamia Bank M ili wapate huduma zao haraka laa sivyo ni vigumu na kazi ya ziada ku transfer fedha toka bank moja kwenda Bank M kulipia malipo kama haya. Na ndio maana unapokwenda bank unaulizwa kama una account nao kama huna tegemea lugha yeyote ya kibiashara, unaweza kuambiwa Hawataweza kukuhudumia unless ufungue account yako kwao.. Na ukisha fungua account fedha yako itakuwa ktk mzunguko wao mbali na service charge utakayokuwa charged kila unapofanya transaction.
 
Nijuavyo mimi TRA imeteua mabenki kadhaa huko nyuma kukusanya mapato kwa ajili. Haya mabenki yanafanya kazi kama wakala (agents).

Standard Chart, Stanbic, CRDB, NMB na nyingine kadhaa kutegemeana na kodi husika. Vinginevyo Mwanakijiji awe na taarifa za ziada kuhusu Bank M ila kama ni mkataba ulio sawa na mabenki niliyoyataja basi watalipwa COMMISSION.

Kukusanya kodi kuna gharama na TRA huangalia iwapo kuweka wakala ni convenient kwa mlipa kodi na gharama ndogo basi inafanyika hivyo.

Hii hoja haitakiwi jukwaa hili maana ni ya kibiashara na swali la Mwanakijiji ni la KIBIASHARA zaidi!
 
Back
Top Bottom