Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini...
"Mkisoma kwenye mitandao ya kijamii tunakosolewa kushoto kulia mpaka nje ya nchi, sasa wale mnaohisi wana mchango mzuri mnaweza mkawaleta wakawa sehemu ya mipango, wakafikiri pamoja na sisi ili...
Nimeona habari ya kuzomea zomea ikisambazwa mitandaoni na kuchukuliwa kanakwamba ni jambo kubwa sana, au jambo jipya sana au jambo la kushangaza sana.
Nadhani sote ni mashahidi kwamba, ikiwa watu...
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma...
WanaJF
....Ifuatayo ni makala yaliyoandikwa katika gazeti la Raia Mwema na aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kibaha Mjini-CHADEMA Habib Mchange na ambaye alikuja kugombea uenyekiti wa BAVICHA...
Kama kichwa Cha habari kilivyo hapo juu, ndugu zangu hapa namaanisha those with sober mind na sio machawa nimemsikiliza mtu anaitwa mchange online tv anasema Mnyika hakugombea ubunge 2015 Kwa kuwa...
Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo...
Wakuu,
Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki...
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange amesema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha...
Naoma kama Baba Levo ushahidi umemlallia vibaya.
Lakini ikiwa ubunge wake utatenguliwa kuna uwezekano wa Ayatollah wa ujiji kushinda?
==
Shahidi wa 16 upande wa waleta maombi, katika kesi ya...
Kuna madhara makubwa anayoyapatia kiongozi mwenye hatia ya mauaji hata kama ana mamlaka makubwa juu ya wananchi wake. Kuuwa ni dhambi kubwa kwa hiyo basi kuna madhara makubwa ya kisheria, kijamii...
Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko...
Serikali imekuwa ikitangaza fursa nyingi za kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi. Hata hivyo, kuna malalamiko kutoka kwa baadhi ya vijana kwamba mchakato wa kupata fursa hizo si wa wazi na...
Mmoja ya Viongozi toka Jumuiya ya Amani Nchini Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka wale wanaojaribu kumchafua mmoja ya Wafanyabiashara wakubwa Tanzania Nilesh Suchak kuacha mara moja.
Soma...
Makonda ni mtoto pendwa maybe kuliko wote ukiondoa Wanu.
Sasa Mtaka si akubali yaishe, atapona Ukuu wake wa mkoa?
Pia soma: Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchagua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.