STATUS: REQUEST FAILED
Failure Code: Bill does not exist
Kwa hiyo kwa sasa siwezi kufanya malipo kwa sababu mfumo wa GePG hauitambui hiyo bill.
Nimepiga simu kwenye namba zenu mfano hii,
0222 212 800 na kuwaandikia message kupitia namba yenu ya WhatsApp hamjibu.
Na nikisema nianze kufanya maombi mapya haikubali kutokana na hiyo ya awali.
Naomba BRELA:
- Kuhakiki Control Number 991351854498;
- Kuhakiki kama bill hiyo ilitumwa kutoka BOS kwenda GePG;
- Ikiwa kuna tatizo la synchronization, kulirekebisha;
- Ikiwa Control Number imeharibika/haikufika GePG, kunipatia Control Number mpya na halali;
- Kuniwezesha kufanya malipo na kuendelea na Company Name Clearance bila kuanza application nyingine.
BRELA fanyeni ustaarabu ili tuendelee na majukumu mengine.