Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama ya Tanzania ni mali ya watanzania inayohudumiwa na watanzania wote kwa manufaa ya watanzania wote kama ilivyo kwa Serikali na Bunge. Serikali, Bunge na mahakama ni mihimili ambayo lazima...
5 Reactions
30 Replies
505 Views
Anaandika Hilda Newron Chadema huko Facebook ‼️HABARI MBAYA KUTOKA MBEYA‼️ Julai 4, 2026 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya liliwakamata Viongozi wa CHASO watatu wa Mkoa wa Mbeya kila mmoja...
1 Reactions
23 Replies
430 Views
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali...
2 Reactions
7 Replies
205 Views
Niliwaza kabla haijapendekezwa na wengine,kumbe NAMI niliwaza kama wengine walivyowaza. Kua kama wanasema Heche ni mwizi wa Hela za michango ya tonetone,basi nilitamani sana atokee mtu aombe namba...
2 Reactions
2 Replies
155 Views
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza...
1 Reactions
25 Replies
597 Views
Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi". Badala yake sasa...
10 Reactions
20 Replies
331 Views
Kuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu. Tazama kwa mfano, 1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa...
5 Reactions
8 Replies
184 Views
Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia! _Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula _Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya! _Fedha inaweza kununua vitu vya...
1 Reactions
0 Replies
42 Views
Tambua kwamba katazo batili la Mikutano ya hadhara lililotolewa na Bwanamdogo Katambi, limesababishwa na Wakazi wote wa Kanda ya Nyasa kuhudhuria Mikutano hiyo Jambo lililoumiza sana Machawa...
21 Reactions
56 Replies
1K Views
Mimi si mfuasi wa CHADEMA, lakini hilo halimaanishi nikubali kila tuhuma inayotolewa dhidi ya viongozi wake bila kutumia akili na kuhoji. Katika suala la madai kwamba Heche amekula fedha, binafsi...
9 Reactions
12 Replies
279 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huu ni UKWELI MCHUNGU ambao ningependa kuwaambia wana CHADEMA wote kuwa kamwe na katu hakuna kitu cha aina yoyote ile ambacho watakifanikisha na kukipata kwa nguvu zao na...
3 Reactions
76 Replies
815 Views
Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US...
4 Reactions
15 Replies
182 Views
Nakutakia nguvu, hekima na uvumilivu katika majukumu yako ya uongozi. Endelea kusimamia unachoamini kwa kufuata sheria, sheria maadili maslai ya wananchi kutetea haki na kuhimiza uwajibikaji...
2 Reactions
1 Replies
50 Views
Tena waliokuwa wanauza bila hata kufunika nyuso zao Baada ya Lawama kusambaa wakaamua kutumia mbinu ya wasiojulikana huku wakificha nyuso zao
0 Reactions
0 Replies
38 Views
Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu...
3 Reactions
2 Replies
111 Views
Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??… Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??. Lkn Media...
9 Reactions
18 Replies
382 Views
..Kichwa cha habari kinahusika. ..Kwa kweli kauli ya Jaji Mkuu imenishangaza. ..Lakini zaidi imenisikitisha, na kuniudhi. ..Hivi Wakili ktk nchi zetu za Kiafrika, anayetetea HAKI za watu...
8 Reactions
28 Replies
435 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia lililofanyika leo Julai 9, 2026, amesema; "Kwa sasa bungeni ni kama umewekwa utaratibu ambao haumo kwenye...
7 Reactions
17 Replies
375 Views
Rais Samia anatarajiwa kushiriki kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es salaam, leo tarehe 30 Juni, 2026 Mashirika yanayotarajiwa kutoa...
4 Reactions
22 Replies
515 Views
  • Redirect
Kwamba alitaka kuongea na na Mwana FA na mashabiki wakagoma na kuzomea huku anaangalia laivu.👇
2 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom